Hamilton Bingwa Sao Paulo Grand Prix.

 

Mwanalanga langa mashughuli, Lewis Hamilton amefanikiwa kutwaa ubingwa wa mbio za Sao Paulo GP baada ya kumpiku mpinzania wake Max Verstappen.

 

Hamilton aliongoza raundi kumi na mbili akitokea nafasi ya kumi na kupambana na Verstappen na kutwaa ubingwa kwa utofauti wa alama 14.

Huu unakuwa ni ubingwa wa 101 kwa Hamilton akituma ujumbe muhimu wa ubabe wake katika mbio hizo za langalanga duniani.

Endapo Verstapen angeweza kumzuia Hamilton, angeweza kumalika katika nafasi ya pili nyuma ya dereva wa Mercedes zikiwa zimebaki mbio tatu, Qatar, Saudi Arabia na Abu Dhabi na kushinda taji.

Baada ya mbio hizo za Sao Paulo GP, Lewis alipigwa faini ya Euro 25,000 – wakati Euro 20,000 zimezuiwa mpaka mwisho wa msimu wa 2022, iliyohusishwa na kuvunja sheria za kutofunga mkanda wakati wa mzunguko wa majaribio.


WIKI NJEMA NA CRAZY TIME CASINO!

Unasababu milioni za kucheza unavyotaka ukiwa na mabingwa meridianbet, lakini unasababu moja ya kushinda mamilioni katika kasino za mtandaoni za meridianbet. Mchezo maridhawa wa Crazy Time unakupa sababu hizo kuwa mmoja wa washindi leo hii.

 

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.