Unakumbuka Harry Kane alipoanza kufunga na kudhaniwa atakuwa mchezaji wa msimu mmoja tu?
Haikuwa hivo, tangu alipoanza kutisha kwenye msimu wake wa kwanza, hajawahi kuporomoka uwezo tena. Wala haoneshi dalili za kuporomoka.
Mabao yake mawili aliyoyafunga kwenye ushindi wa 3-1 kwa Tottenham dhidi ya Newcastle, hayakumfanya tu kufikisha mabao 20 kwa misimu wa sita mfululizo bali alifungua ukurasa mpya wa mabao 200.

Kati ya hayo, 185 ameyafunga akiwa na uzi wa Tottenham, kisha mengine aliyafunga alipoenda kwa mkopo Millwall magoli 9, Leyton Orient magoli 5 na Leicester city magoli 2.
Katika hali ya kushangaza, imemchukua michezo 350 tu kufikisha idadi hiyo ya mabao. Cristiano Ronaldo anayedaiwa kuwa moja kati ya wafungaji hatari kuwahi kutokea kwenye historia mpira wa miguu, ilimchukua michezo 29 zaidi ya Harry Kane kufikisha idadi hiyo ya mabao 200.

Si Ronaldo tu, bali Harry Kane amefikisha mabao 200 kwa haraka zaidi kuliko Thierry Henry na Sergio Aguero.
Wayne Rooney ambaye ni mfungaji wa pili bora wa muda wote wa EPL, ilimchukua michezo 100 zaidi ya Kane kufikisha mabao 200.
Mourinho aliyefanya kazi na wachezaji wakubwa duniani alikuwa mmoja kati ya watu walioshangazwa na rekodi ya Harry Kane.
Mourinho alisema “inashangaza sana kumuona amefikisha mabao 200 akiwa na umri mdogo namna hii. Sitashangaa kumuona akiwa na mabao 200 mengine.”
Wayne Rooney amefunga jumla ya mabao 208 Ndani ya Premier League, Harry ameshafunga mabao 138. Je, Kane ataweza kuifikia na kuivunja rekodi ya Wayne Rooney.?
Kwa sababu ya thamani ya pesa yako, kwa kila muamala unaofanya wa kuweka pesa kwenye Akaunti yako ya Meridianbet unapata 5% Bonasi.


felister
ahsante kwa taarifa
Elika
Kane Yuko vizurii na nimchezaji Bora kwangu…kifupi namuelewa sana
Lydia Emmanuel Magoti
Harry kane nimchezaji mzuri nifundi anaejituma kwenye kazi yake namkubali
Zeiyana
Harry Kane humri wake tayari ushaenda hawezi kuwika tena
Isaya massawe
Harry nama sana anaisaidia sana klabu yake
Issa
Kane mnyama rekodi nyingi lakin pia ni hatari sana kwenye 18 ila majeraha ndio tatizo kwake
Sadick
Kwangu altitude ya Kane that count. Ni mtu mwenye usongo kufunga. Naamini atafikisha magoli 500#meridianbettz
Frank Patrick
Kwa uchezaji wa Kane anaweza kabisaa
Edgar
Sawa kabisa maana kwa jinsi alivyoonesha jana kwenye mchezo zidi ya resta city ni malengo ya kufikia record ya Wayne Rooney
Ernest
Kane ni mchezaji hatari sana kwenye kufumania nyavu, Amini usiamini lazima agawane kiatu na Aubameyang msimu huu.
Dorophina
Kane yupo vizuri na anaonekana anamarengo mengi ya kutaka kuvunja rekodi ya mfungaji bora anaweza akafanikiwa
Gabriel
Habar njema
Fatuma kasomo
Habari nzuri
lombo
gud news mambo ni moto na meridianbet
Rehema
Hii ni habari njema
Furahav
Kane yuko vizuri.
sabrina
Harry Kane ni bonge la mshambuliaji
Hope mwaikuka
Ataweza tu
Revina
Kila jambo linawezekana ila kane ni Kane na Rooney ni Rooney
Povel tz
Kane noma sana
Theckla
Namkubali Sana
Shafii
Super Kane jamaa anajituma Sana angetafuta clubu kubwa saivi angekua mbali Sana.
devotha
Harry Kane ni mchezaji mzuri sana
Emmy cleopa
Habar nzuri
Amiri Kayera
Atavunja record ya Roon bad kiwang kipo
Saupha mohamed
Jamaa anajua sana
Leonard
Kane mshambuliaji mzuri
Tahiya
Harry kane ni habari nyingine
Latifa juma mohamed
Kane, kiungo Bora Sana.
Theonestina
Namkubar Sana Harry kane
Genia Sikaluzwe
Habari njema
Franky
Apambane mbina ata weza tu..
[email protected]
Apambane tu mbona ataweza
MnonganeJR
Kane ni mchezaji hatari Sana ..bigup kwake#meridianbettz
Omary lukumbi
Hary kane ni mchezaj hatar
Magdalena
Kane yupo vizuri katika soka na ndo maana kuna msemo usemao usimdharau usiemjua
caroline
Harry kane anakuja vizuri sana.hongera sana
aisha
Yuko vizuri sana
Zuhura omary kindamba
Asante kwa taarifa
Ester jackson
Kane namkubali sana mchezaji mwenye mbio nyingi sana
Tatu
Kane yupo vizuri
Flomena
Kane Yuko vizuri San akijitahidi anaweza kuvunja hiyo rekod ya Rooney
Salma
Anafanya vizuri kijana
Christa
Harry Kane ni mchezaji wa viwango.
Fatuma kasomo
Yupo vizuri
Njiku
Kane jeshii na atavunja rekodi tu