Ni kweli kwamba hamna ukomo hapa! Una nafasi ya kudai ushindi wako wakati wowote unapobeti hata kama mechi hazijaisha zote katika mkeka wako uliobeti na kituo namba moja kwa ubashiri Tanzania – Meridianbet!
Ikoje hii?
Kuna chaguo la Turbo Cashout kwa kila mkeka unaobetiwa mtandaoni pamoja na ile ya madukani kwetu ambapo unakuwa umeamua kuukatisha mkeka wako uliobeti muda wowote na ukiwa mahali popote.
Ni wakati wowote na mahali popote pale unapokuwa upo.
Hamna vigezo zaidi vya wewe kufuzu kufanya malipo ya haraka kwa kutumia Turbo Cashout kwenye mkeka wako uliobeti.
Kwa sababu ipo mikononi mwako basi hamna haja ya kungojea tena pale unapohisi mkeka wako utachanika ukiuacha uendelee, unaamua kuturbo na kuchukua pesa yako.
Hii ni kabla ya mechi kuanza katika mkeka wako na baada ya mechi kadhaa kuwa zimeshashinda tayari. Utaona neno turbo Cashout katika mkeka wako na unaweza kuuturbo pale pale.
Iwe ni kabla ya mechi kuanza ama mechi zikiwa zimeshaanza unaweza kufanya hivyo mtandaoni, ama kufika katika maduka yetu na kupata huduma hii haraka.
Kwa sasa sahau kuhusu kusubiri sana na kuishia kupoteza tiketi zako ulizostahili kushinda. Epuka hayo yote kwa kufanya Turbo Cashout hapa Meiridanbet.
Zaidi soma hapa kujua yanayokuhusu juu ya suala hili.



Gabriel
Inasaidia sana hii system
Evaluziga
Tunashukuru kwa iyo system
Adelta
System yao inasaidiy sana
David pere
Nani achane wakati naangalia Kama inalipa nachukua mpunga
Sylvester
safi sana mnatupunguzia maumivu ya kuchana mkeka #Meridianbettz , #Meridianbet.com
lombo
inapendeza
Rehema Dickson
Nawapongeza sana kwa kuweka hii huduma inasaidia sana kwakwel
Antony Luseno
Asanteni meridianbettz kwa kutujali na turbo cash out
Samiah
Systim hii ninzur sana meridian
Zeiyana iddi
Atuchani mkeka meridianbettz
Neema juma
Iko poaw sana mda wowote mahali popote turbo inatuokoa
Ester jackson
Hapo hatuchani mkeka bora nusu hasara kuliko hasara kamili
Emmy cleopa
Iko vizur sana #meridianbettz
Theckla
Ni huduma nzuri kwa wateja wenu
Agness
Hii inasaidia Sana unaambulia chochote
khadija
naweza kufanya turbo cash duka lolote la meridian hau nalipo bashili ndipo ninapo fanya turbo
aisha
ahsanteni kwa kutujali wateja wenu
Frank Patrick
Meridianbet hii turbo imekaa pouwa sana
Hamidu
Safi meridianbet mko vzr. Wazee wakubet fursa ndo hiyoo
Ester mmakasa
Turbo ni huduma nzuri na ya haraka ,usisubiri mkeka uchanike .
Ernest
Ni Huduma nzuri, ila tunaomba wepesi katika hili pale ambapo unakuwa na ticket ambayo unahitaj kufanya turbo, Mara nyingi tumekuwa tukipata shida sana kufanya turbo.
winfrida
turbo iko poa sana
Neema hassan
Asnte kwa taarifa meridianbet..
Elika
Imekaa poa sana
Kenani
Hii kitu iko poa sana
Rehema
Hii huduma mzr sn turbo imekaa fresh
Amani
Kwa huduma hii mumetisha Sana maana Kila siku ninachana timu moja ila tangia turbo iwepo kwangu Kila siku furaha #meridianbettz
Hope mwaikuka
Hii ktu inasaidia sana kupunguza maumivu ya kuliwa
Aziza mushi
Imekaa pouwa sana hi asanten meridian kwa taarifa
Fatina
Hii ni yapekee meridian asanteh xnaaa
felister
turbo ndo mpango mzima akuna kusubir mpaka mkeka uchanike
Asia Abdy
Hii inaokoaga sana aisee
mwakalosi
hii inasaidia sisi tunaopenda pesa za haraka pasipo kusubili
Dorophina
Inatusaidia sana kupata ela chap chap lkn mnatukata sana meridian
SADICK
Asante kwa kutupunguzia wasiwasi wa kuliwa #meridianbettz
geniaskaluzwe8
Inapendeza#meridianbet
Mwanaidi
Hakuna kuchana mkeka
Hidaya Mohammed
Kuchana mkeka utake wewe meridianbet imerahisisha kupata pesa
Asia Abdy
Hii inaokoaga sana
Salma
Iko vizuri
Lydia Emmanuel Magoti
Akuna kuchana mkeka
Warda
Naipenda sana Turbo #Meridianbettz
Theonestina
Hakuna kufeli ukuwa na #meridianbet
Furahav
Hii iko poa,mana inapunguza machungu.
Shafii
Iyo iko poa Sana ukiona huelewi unachukua chako mapema
Nasra
Meridianbet mmetusaidia sana
Christopher
Imekaa vzr sana hii
Povel
Mpo vzr sana ngoj nitengenez mkeka wangu thnks meridian bet tz kwa update
Mwajuma
Mambo ya pesa fasta
Tahiya
Hakuna kuchana mkeka, hii iko poaw sana
Magdalena
Hakuna kusubiri Tena mpaka mechi zote ziishe unaweza jichukulia mkwanja kabla ya game kuisha zote #meridianbet