Mlinzi wa kulia wa Simba SC, Shomari Kapombe amecheza mchezo wake 100 wa Ligi Kuu tangu alipojiunga na klabu hiyo kwa mara ya pili akitokea Azam FC mwaka 2017.

 

Matchday : Simba SC vs RS Berkane

Tangu alipotua Simba SC, beki huyo amekuwa mchezaji wa kikosi cha kwanza na amejihakikishia namba upande wa kulia.

Kapombe anakuwa miongoni mwa wachezaji waliocheza mechi nyingi za ligi kwa waliopo katika kikosi cha Simba SC kwa sasa.

Kwa mujibu wa takwimu Kapombe amefunga mabao mawili na kusaidia kupatikana kwa mengine 25 kwenye ligi tangu ajiunge na Simba SC mwaka 2017.


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa