Kepa Aondoke Chelsea - Jamie Caragher.


Beki wa zamani na gwiji wa club ya Liverpool Jamie Caragher anaamini Chelsea haitaweza kupambania kutwaa Ubingwa ikiwa na Kepa Arrizaballaga kama golikipa wake namba moja. Hivyo wanatakiwa kumfanyia mabadiliko kwa ujio wa golikipa mpya.

Caragher anaona Chelsea inafanana na Liverpool aliyoanza nayo Jurgen Klopp wakati Simon Mignolet na Loris Karius wakiwa walinda milango wake.

Kepa Aondoke Chelsea - Jamie Caragher.

Hawakuwahi kushinda taji lolote hadi walipomleta Allison Becker kutoka As Roma. Wakitwaa Ligi ya Mabingwa katika msimu wake wa kwanza kabla ya kuchukua taji la Ligi Kuu msimu huu.

Caragher alisema hayo wakati Chelsea ilipopoteza kwa mabao 5-3 dhidi ya Liverpool. Caragher aliiambia skysports ” Chelsea hawataenda mbali kama hawatambadilisha golikipa wao.

Nikiitazama namna hii timu yao ilivo, na umuhimu wa magolikipa katika timu, wananikumbusha miaka ya kwanza ya Jurgen Klopp akiwa na Mignolet pamoja na Karius kama magolikipa wake. Hawakuwahi kushinda chochote hadi walipomleta Allison.”

Kepa Aondoke Chelsea - Jamie Caragher.

“Lampard amefanya vizuri sana kwa msimu wake wa kwanza. Na wachezaji wakubwa waliowasajili, naamini watawafikisha mbali kama timu.

Ila bado wanahitaji beki wa kati na golikipa. Ukitazama mabao waliofungwa, unaona kabisa ni makosa ya golikipa na mabeki.

Wakiwa na Kepa Wana takwimu mbovu zaidi kwenye Ligi za ukabaji wa corner.” Alisema Caragher

Kepa Arrizabalaga ndiye Kipa ghali zaidi duniani akiwagharimu Chelsea pauni 71.6 milioni kutoka Athletic Bilbao.

Chelsea wanatajwa kuongoza mbio za kumuwania Jan Oblak wa Atletico Madrid.


Kwa sababu ya thamani ya pesa yako, kwa kila muamala unaofanya wa kuweka pesa kwenye akaunti yako ya Meridianbet unapata 5% bonasi.

Soma Zaidi

51 Komentara

    Asante kwa taarifa#Meridianbettz

    Jibu

    Arrizaballaga ni kipa mzuri sana ila sijui anafeli wapi hizi stuma anazo nae kipa wa man u de gea wanafanyaga game zinakuwa ngumu sana au kwa kuwa wanaona wao ndio bora sana au?kama arrizaballaga anaruhusu mepesi sana kama alivyo de gea

    Jibu

    Nahisi uongozi wa blues ndo utakuwa na maamuzi sahihi

    Jibu

    Kweli kabisa kwa hasaivi timu ya Chelsea inachangamoto sana upande wa beki hamna na kipa kama mechi iliyo pita kati ya Chelsea & Liverpool ilikuwa ngumu sana kwa Chelsea lakini kutokana na kukoza watu wenye uwezo zaidi katika Pande hizo na kama wangekuwepo nafikiri mechi hiyo ingetoka suluhu au kushinda Chelsea lakini haikuwa hivyo kama watafanya marekebisho katika safu za walinda mlango na kipa itawafanya wafike mbali kocha Lampard Yuko vizuri kwa kweli anajitahidi.

    Jibu

    aondoke tu kwanza nishamchoka

    Jibu

    Goodupdate

    Jibu

    Kipa mzuri Sana na kaonesha mchango mkubwa Chelsea ata akiondoka watakuja kumkumbuka

    Jibu

    Chelsea wamekua wanaonesha sana uwezo wao lakini kipa anaonekana kama amechoka sana hawezi kupata matokea mazuri kama watabki naye kipa huyo

    Jibu

    Makal nzur

    Jibu

    Good news

    Jibu

    Aonde tu kwa maisha kokote#meridianbettz

    Jibu

    Nawakubali Sana

    Jibu

    Gud newz

    Jibu

    uongozi wa Chelsea ndo wenye maamuzi ya mwisho

    Jibu

    Mbona ni kipa mzuri sana na ameisaidia Chelsea kwa kiwango fulani

    Jibu

    Mapema sana ana enda wp tena ange tulia tulia apo Chelsea atoe toe maboko banaa…

    Jibu

    Kinacho wakumba makipa kwa Sasa kutokana na maneno ya mashabiki wanapaswa kupata watu wasaikolojia naimani watarudi kwenye kiwango chake vizuri#meridianbettz

    Jibu

    Mbona nikipa mzuri tuu kwenyekazi unajua kunatuuma nyingi unaweza ukawaunafanya kaz badae ukaonekana aupo sahii ndio ivyo kwaiyo kunavitu vingi namakosa namakosa yake yanaweza kulekebishika

    Jibu

    Kepa bado yupo fiti

    Jibu

    Nawakubali sana

    Jibu

    Kepa alisajiriwa harakaharaka baada ya Golikipa namba moja kwenda Real Madrid#meridianbettz

    Jibu

    Asante kwa kutujuza

    Jibu

    Kepa yupo vizur tuu,lawama tuu za walimwengu Kama vipi aangalie maisha mengine mbele!

    Jibu

    Wamsubirie kwanza wamuangalie kwa kipindi hiki

    Jibu

    Wako vizuri

    Jibu

    Nawakubali vzr sanaaa

    Jibu

    Zamu ya Kepa sasa kusepa Chelsea

    Jibu

    Kepa asepe tu chelsea hapo kama pamemkataa sana labda mbinu za kocha

    Jibu

    Nawakubali sn

    Jibu

    Ni ngumu kwa kipind hich kupata mbadala wa kepa Kama akiondoka

    Jibu

    Asanteni meridianbet kwa taarifa

    Jibu

    Habari nzuri

    Jibu

    Itakavyokua sawa tu

    Jibu

    kwann aondoke bdo yuko vzr

    Jibu

    Uwamuz ni wake

    Jibu

    Kocha wa magolikipa anapaswa Sana kua bega kwa bega na kepa mazoezini na kuangalia mapungufu yake ila ni kipa bora na anahitaji mda tu.

    Jibu

    Good news

    Jibu

    Taarifa njema

    Jibu

    Hayo ni maamuzi yake#meridianbett

    Jibu

    Uwamuzi anao mwenyewe

    Jibu

    Aondoke tu amesababisha magoli mengi msimu huu

    Jibu

    asante meridianbet kwa habar moto moto

    Jibu

    asante kwa makala

    Jibu

    Good news kwa wapenzi wa Chelsea kusikia taarifa hzo kepa amekua kwenye kiwango.kibovu sana msimu huu

    Jibu

    Maamzi ni yake mwenyewe

    Jibu

    Kama anajitambua asepe tu sababu EPL ishamshindaa Kama vipi arejee kwao tu anaweza kuonyesha kiwango kikubwa Kama zamani

    Jibu

    Ndo wakazane kusajili Vifaa vya Ukweli#Meridianbettz

    Jibu

    Chelsea wanapaswa kusajili kipa mwingine kwaajili ya msimu ujao

    Jibu

    Kepa nenda kaka maisha popote

    Jibu

    Ataft kwngn kiwang chak akilizsh

    Jibu

    Gud

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.