Kubeti kwa Kitochi na Meridianbet, Mwendo wa USSD

Umeshawahi kukosa bando na ukahitaji kubeti ukashindwa ufanye namna gani? Vipi pale unapokuwa na kitochi pekee au simu yako babu kubwa inapokuwa na changamoto za hapa na pale. Jibu ni kubeti kwa kitochi tu!

Meridianbet hawajawahi kukutupa!

Ndiyo, unapokuwa na simu yako ndogo au ya kitochi, na ukiwa hauna Intaneti unaweza kubashiri, Meridianbet wanakuwa na wewe wakati wote.

Unaweza kubeti kwa USSD kwa kupiga *149*10# kisha unaanza kufurahia ubashiri. Unahitaji kuwa na laini ya Tigo kuweza tengeneza majamvi yako ukiwa na kitochi.

Jakpoti na Ofa za kubashiri kwa kitochi!

Kwanza kabisa, una nafasi ya kushinda jakpot ya milioni 300 kwa kubashiri kwa usahihi timu zako 15 kwa shilingi 1000 tu.

kwa promosheni ya mwalike rafiki unaweza kupata beti za bure pale unapomkaribisha rafiki yako kuanza kubeti na Meridianbet kwa kupiga *149*10#.

Jumuika na wajanja hawa kusuka mikeka, kubeti kwa kitochi.

 


SHINDA NA MERIDIANBET!

Tengeneza pesa kidijitali kwa kubashiri mbio za farasi hapa Meridianbet! Chagua nani ashinde, unakusanya mkwanja.

Cheza Sasa.

36 Komentara

    Asante kwa muongozo maana nilikuwa napata shida sana jins ya kubet kwa kutumia kitoch#meridianbettz

    Jibu

    Safi meridianbet

    Jibu

    Safii

    Jibu

    Nzur Sana hii

    Jibu

    Ahsanteni sana meridian bet kwa kuturahishia kutumia kitochi

    Jibu

    Meridian mko vizuri.

    Jibu

    Nyumba ya mabingwa jiunge na meridian

    Jibu

    🔥🔥🔥@meridianbet

    Jibu

    Meridianbet mko vizuri.

    Jibu

    Meridian mpo vizuri Sana👏👏

    Jibu

    Meridianbet mmekuwa mkitoa mambo mazuri kila kukicha

    Jibu

    Meridian nawakubali mnoo

    Jibu

    Huduma zenu zipo bomba sana

    Jibu

    Asanten sana meridian maana nilikua sijui sinsi ya kubet kwenye kitochi#Meridianbettz

    Jibu

    Mmetisha sana MeridianBet

    Jibu

    Meridianbettz mpo juu hamna mpinzani

    Jibu

    Huduma nzur!!

    Jibu

    Duuhh!!! kupangua timu 15 zote sio mchezo, jaribuni kufanya kama Kampuni nyingine kwenye Jackpot ili kutuvutia zaidi sisi wateja

    Jibu

    Mpo vizuri meridian

    Jibu

    Raha Sana adi kitochi unabeti

    Jibu

    mmetishaaa

    Jibu

    Nice

    Jibu

    Hii imekaa vizuri Sana Asante meridianbet

    Jibu

    Meridian mpo juu

    Jibu

    Meridianbet mko vizur

    Jibu

    Meridianbet mnatisha

    Jibu

    Hii imekaa poa meridianbet mko vizuri.

    Jibu

    meridianbet mpo juu

    Jibu

    Mambo mazuri hayoo

    Jibu

    Meridianbet huduma kwa wote

    Jibu

    Meridianbet hamtuachi kinyonge adi kiswaswadu unaweza ukabet!! Kwel nyie sio watu wa mchezo mchezo!!!

    Jibu

    Hii kubeti kwa kitochi inanifurahisha sana sasa hivi ni full kutupia #Meridianbettz

    Jibu

    Meridianbet n 🔥🔥🔥🔥

    Jibu

    meridianbet mpo vizuri sana ata kama sina smart phone nabashiri kama kawaida

    Jibu

    meridianbet mpo vizuri sana ata kama sina smart phone nabashiri kama kawaida

    Jibu

    Duuhh!!! kupangua timu 15 zote sio mchezo, jaribuni kufanya kama Kampuni nyingine kwenye Jackpot ili kutuvutia zaidi sisi wateja

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.