Leeds Watuma Ofa kwa Manchester United.


Klabu ya Leeds United imetuma ofa ya kutaka kumsajili winga wa Manchester United Daniel James wametuma ofa ya £12M ili wamsajili moja kwa moja au wawape kwa mkopo.

Daniel james ambaye alianza katika mchezo wa Jana dhidi ya Crystal Palace alitolewa katika kipindi cha pili baada ya kuonyesha kiwango kibovu na nafasi yake kuchukuliwa na kinda mwenzie Mason Greenwood.

 

Leeds Watuma Ofa kwa Manchester United.

James alinunuliwa kutoka Swansea city kwa kiasi cha £18M msimu wa 2018/19 huku akitabiriwa kufanya vizuri pale Old trafford.

Majeruhi yalimfanya mchezaji huyo kucheza chini ya kiwango kuanzia mwishoni mwa msimu ulioisha na kuanza kupoteza nafasi ndani ya kikosi cha Ole.

Matokeo ya jana ya United yanawafanya wafikirie upya juu ya mwenendo wao katika usajili katika dirisha hili huku Leeds wakitaka kumchukua Daniel.

 

Leeds Watuma Ofa kwa Manchester United.

Usajili wa Donny van de Beek unaonekana kuleta matokeo chanya Baada ya Jana kuwafungia United goli la kufutia machozi akitokea benchi kuchukua nafasi ya Paul Pogba.


SHINDA NA MERIDIANBET!

Tengeneza pesa kidijitali kwa kubashiri mbio za farasi hapa Meridianbet! Chagua nani ashinde, unakusanya mkwanja.

Cheza Sasa.

46 Komentara

    Bonge la makala

    Jibu

    Asante kwa taarifa

    Jibu

    good news

    Jibu

    United wasikosee kumwachia Daniel aende leeda

    Jibu

    daniel nenda tu Manchester mbona ni timu kubwa

    Jibu

    Mambo hayo Leeds naona wataki mzaa

    Jibu

    Leeds naona hawataki mzaa kabisa yan#Meridianbettz

    Jibu

    Mashabiki tunashukuru kwa makala nzuri@meridianbettz

    Jibu

    Asantee kwa makala

    Jibu

    Daniel ni mchezaji mzuri tu man u wasimuachie kirahisi

    Jibu

    Leeds wako vizuri

    Jibu

    Leeds wapo vizuri

    Jibu

    Man u watamuuza tu Daniel kwa Leeds maana ashaaza kucheza vibaya aoneshi kiwango chake kama zamani

    Jibu

    Me naona wangempa nafasi yengine tu Daniel bado yupo vizuri tu na sio kumuacha haende

    Jibu

    aya sasa ngoja tuone man u wataweza kweli kumuachia daniel

    Jibu

    Leeds wapo vizuri

    Jibu

    James ndani ya Man U hana chake tena

    Jibu

    James ni mchezaj mzuri sema majeruh yanamfany kiwango kishuke

    Jibu

    Asante meridian kwakutujuza

    Jibu

    Daniel bado yupo vizuri tu na sio kumuacha haende

    Jibu

    United wasimuachie daniel akaenda

    Jibu

    🔥🔥

    Jibu

    Good news

    Jibu

    This news is so hot

    Jibu

    Habari njema#meridianbettz

    Jibu

    Kinda alietabiriw kufany makubwa. Lakin mfumo umemkataa united

    Jibu

    Man U itafanya makosa km itamuachia

    Jibu

    United wangempa muda james dan Kwan namatuin hanawez kupamban na kupata nafasi kikos cha kwanza

    Jibu

    Mnamuachaje mchezaji mzuri hivyo

    Jibu

    Wangempa nafasi

    Jibu

    Leeds wako vizuri

    Jibu

    Gud news.

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Ngoja tuone

    Jibu

    Man United wangempa muda james dan Kwan namatuin hanawez kupamban na kupata nafasi kikos cha kwanza

    Jibu

    united wakitaka waaribu kikosi wamuachie daniel

    Jibu

    Watuachie Daniel wetu#Meridianbettz

    Jibu

    Tunasubir tuone picha litaishia wapi!

    Jibu

    Good news

    Jibu

    Man u kaz wanayo

    Jibu

    Gud news

    Jibu

    Habari nzuri

    Jibu

    Maajabu yaliyotegmew kwa James hayaonekan labda mfumo wa ole ajaukop
    Bora aende kwengine labda parfomanc itakuepo

    Jibu

    Man ina orodha ndefu ya wachezaji ambao inatakiwa kuwauza ni pamoja na James, hana mchango wa maana#meridianbettz

    Jibu

    Leeds wamekaza

    Jibu

    Leeds nawakubali

    Jibu

Acha ujumbe