Klabu ya Liverpool imemuweka sokoni kiungo wake Alex Oxlade-Chamberlain, mchezaji huyo akiwa amebakiza mwaka mmoja katika mkataba wake wa sasa.

Liverpool wako tayari kupata hasara kwa mchezaji huyo ambaye alinunuliwa kwa dau la million £35 mwaka 2017 na wakotayari kumuachia kwa dau la £10m.

 

liverpool, Liverpool Yamuweka Chamberlain Sokoni., Meridianbet

Manchester United inaripotiwa kuonyesha nia ya kutaka kujaribu kumsajili Alex Oxlade-Chamberlain (28) ambaye pia anadaiwa kuonyesha nia ya kutaka kuondoka Anfield.

Kocha mpya Erik ten Hag wa Man. Utd anahitaji viungo wapya katika timu yake baada ya kuondoka kwa Paul Pogba, Juan Mata, Nemanja Matic na Jesse Lingard.

Mashetani Wekundu walionesha nia ya kutaka kumsajili Chamberlain mwaka 2011 lakini alijiunga na Arsenal, ambako alikaa miaka 7 kabla ya kuhamia Liverpool.


ALIYA’S WISHES

Bila shaka unatamani ushindi mkubwa, vipi kuhusu kujaribu Sloti hii ya Aliya’s Wishes? jaribu ushinde sasa.Kasino ya Mtandaoni

CHEZA SASA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa