Mane, Dias Wanaendelea Vizuri Baada ya Kukimbizwa Hospitali.

 

Nahodha wa Senegal Sadio Mane pamoja na Golikipa wa Cape Verde Josimar Dias wote wanaendelea vizuri baada ya kukimbizwa hospitali kufuatia tukio la kugongana vichwa wakati wa mchezo wa 16 bora wa AFCON 2021 uliyomalizika kwa Senegal kushinda 2-0.

 

Josimar alioneshwa kadi nyekundu baada ya tukio hilo kutokea dakika ya 57, Mane aliendelea kucheza hadi dakika ya 63 akafunga goli ila dakika ya 70 akashindwa kuendelea na kukimbizwa hospitali.

Baada ya ushindi huo sasa Senegal wanafuzu kucheza hatua ya robo fainali ya AFCON 2021 na mshindi wa mchezo wa 16 bora wa Mali dhidi ya Equatorial Guinea ndio atacheza nae hatua ya robo fainali ya AFCON 2021.


VUNA MKWANJA NA KENO

Dakika tano pekee zinakutosha kuwa mmoja wa washindi wa mkwanja mrefu ndani ya kasino pendwa ya meridianbettz katika sloti maridhawa ya KENO, moja ya michezo inayoipa thamani dau lako.

tetesi, Tetesi za Soka barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe