Neymar: Kwa Nini Niliamua Kuondoka PSG?

Ni takribani miaka mitano tangu nyota wa zamani wa Barcelona, Neymar kutengana na klabu yake ya zamani. Mara kadhaa amekuwa akihusiswa na kurejea klabuni hapo.

Akiwa na PSG amepata mafanikio makubwa klabuni hapo ikiwa ni pamoja na kushinda Ligi ya Ufaransa mara tatu, na kushinda Ligi ya Mabingwa kwa mara ya pili, ya kwanza ikiwa alipokuwa na Barcelona

Kwenye dokumentari yake kupitia Netflix, Neymar amenena juu ya sababu ya kutaka kuondoka PSG, akisisitiza kuwa si mashabiki wala klabu bali ni maamuzi ya kusaka uhuru zaidi na furaha.

Neymar

“Nilipofanya uamuzi wa kuondoka PSG, haikuwa kwa sababu ya shabiki au klabu. Ni kwa sababu niliona kwamba nilijisikia vizuri mahali pengine.”

“Sijawahi kuwa na baya lolote dhidi ya mashabiki wa PSG, wala dhidi ya klabu yenyewe. Haikuwa hivyo kamwe. Ni kinyume chake. Nashukuru sana, tuko upande mmoja, tunatetea shati moja. Niko hapa kusaidia.” Neymar


 

Vuna Mkwanja na Keno

Dakika tano pekee zinakutosha kuwa mmoja wa washindi wa mkwanja mrefu ndani ya kasino pendwa ya meridianbettz katika sloti maridhawa ya KENO, moja ya michezo inayoipa thamani dau lako.

tetesi, Tetesi za Soka barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe