Kipa raia wa Argentina, Emiliano Martinez, anatarajiwa kuagana na Arsenal na kukamilisha uhamisho wake kuelekea Aston Villa kwa kiasi cha £16m.
Martinez, 28, alikuwa tegemeo kubwa la Arsenal katika fainali ya Kombe la FA iliyoshuhudia kikosi hicho cha kocha Mikel Arteta kikiwapepeta Chelsea 2-1 uwanjani Wembley, Uingereza.

Kiini cha kubanduka kwa Emiliano uwanjani Emirates ni maamuzi ya Arteta na benchi ya kiufundi ya Arsenal kusisitiza kwamba Bernd Leno ataendelea kuwa kipa wao chaguo la kwanza kwa mara nyingine muhula huu.
Martinez, ambaye tayari ametua uwanjani Villa Park kufanyiwa vipimo vya afya, atakuwa mchezaji wa tatu kusajiliwa katika kikosi hicho muhula huu baada ya fowadi Ollie Watkins aliyetokea Brentford na beki Matty Cash aliyesajiliwa kutoka Nottingham Forest.

Martinez aliachwa nje ya kikosi cha Arsenal kilichotegemewa na Arteta dhidi ya Fulham katika mchuano wa ufunguzi wa EPL uliowashuhudia wakisajili ushindi wa 3-0 uwanjani Craven Cottage mnamo Septemba 12, 2020.
SHINDA NA MERIDIANBET!
Tengeneza pesa kidijitali kwa kubashiri mbio za farasi hapa Meridianbet! Chagua nani ashinde, unakusanya mkwanja.


Mwajumah
Martinez ni kipa mzuri sana namkubali uyu jamaa#meridianbettz
Adelta
Martinez Yuko vizuri @meridianbettz
Elika
Kila la kher
Fatina mfigi
Pongezi kwake martinez!
Dorophina
Aston villa wamepata kipa mzuri
Ernest
Naona Arteta anamipango yake mipya sasa, Kila la kheri Martinez
Mwanahamisi
Kila La kheri
Povel
Arteta naona anakifumuah kikos cha gunner nakutengeneza chake Kila la kheri MArtinez
Lydia Emmanuel Magoti
Aston villa wamepata kipa mzuri anajituma Sana
Caroline
Karibu Aston Villa
felister
kila la kheri martinez
Theckla
Binafsi niseme karibu Martinez Aston villa
Rose kapinga
Pesa haiongopi hakuna linloshindikana!!!
rama
usajiri mzuri sana
aisha
Moja kati ya sajili ambazo villa haijakosea
Amiri Kayera
Kila la kher
Hopemwaikuka
Hyo pesa inaendana nae maana ni mchezaj mzur
Rehema
Kila la kheri
Furahav
Kijana yuko vizuri.
Shafii
Deal done.
lombo
saf
Issa
Villa usajil makini huu
Khadija
kila kheri#meridianbettz
Saupha mohamed
Jamaa anajua
Sabrina
Mambo mazuri hayoo yamewasili villa
Nasra
Hongera sana martiz
Neema
Mambo mazuriii
Latifa juma mohamed
Nice congr!!deal done.
Tumaini kasalile
Well done
Johnmary joel
Hongera zake#meridianbett
warda
Martinez Anajuhudi Kubwa sana kwa kweli#Meridianbettz
Ester jackson
Kila la heri kipa
Janeflora malisa
Pongz kwake
Gabriel
Itakuwa poa
Theonestina
Kila la kheri
magdalena
aston villa wamepata bonge la mchezaji martinez yupo vizuri sana
Samiah
Kila lakheri
David Pere
Naona Arteta anamipango yake mipya sasa, Kila la kheri Martinez