Klabu ya Simba SC leo itashuka katika Uwanja wa Azam Complex uliopo Chamazi jijini Dar es Salaam, saa moja usiku kuikabili Azam FC (Derby ya Mzizima) katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC.

Kabla ya mchezo wa leo Simba SC wamemekutana na Azam katika michezo miwili na yote wamefanikiwa kuibuka na ushindi. Katika mchezo wa mzunguko wa kwanza wa ligi uliopigwa Uwanja wa Benjamin Mkapa, Januari Mosi walliibuka na ushindi wa mabao 2-1.

 

simba sc, Matchday : Azam FC vs Simba SC, Meridianbet

Katika mchezo wa Fainali ya Kombe la Mapinduzi uliofanyika Uwanja wa Amani visiwani ZanzibarJanuari 13 wakaibuka na ushindi wa bao moja na kutwaa taji hilo.

Kocha wa Simba SC, Pablo Franco amesema mchezo utakuwa mgumu na anatarajia kupata upinzani mkubwa mkubwa kutoka kwa Azam lakini wapo tayari kuwakabili.

Pablo amesema wachezaji wapo katika hali nzuri morali ipo juu na kila mmoja amejitahidi kuonyesha jitihada mazoezini ili apewe nafasi leo.


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa