Mtibwa Sugar na Coastal Wasalia Ligi Kuu.

 

Vilabu vya Mtibwa Sugar ya Morogoro na Costal Union ya Tanga vimefanikiwa kusalia katika ligi kuu ya Tanzania Bara baada ya kufanikiwa kutetea matokeo katika mechi zao za marudiano.

 

Coastal Union na Mtibwa Sugar zasalia rasmi VPL, Wagosi wa Kaya wakipata ushindi wa 3-1 dhidi Pamba FC ya Mwanza na kushinda kwa aggregate ya 5-3.

Mtibwa ilishinda kwa goli 4-1 katika mchezo wa kwanza dhidi ya Transit Camp na kupoteza kwa 1-0 wakiwa nyumbani lakini matokeo ya mkondo wa kwanza yanawafanya kusalia kwa 4-2.

Pamba ya Mwanza iliyopoteza playoff kwa mara ya pili mfululizo walikubali sare ya 2-2 wakiwa nyumbani kabla ya kupoteza kwa 3-1 wakiwa mkwakwani, Tanga na kuwafanya Costal kusalia kwa aggregate ya 5-3.

Je, unadhani mtindo wa kutumia playoff katika mechi za kusalia katika ligi kuu ni njia nzuri kwa vilabu vinavyotoka katika madaraja ya chini?


FURAHIA KASINO MTANDAONI HUKU UKITENGEZA MKWANJA!!

Kasino ya Mayan Eagle inakukufanya kuwa bingwa wakati wowote unapoamua kuicheza. Utaburudika huku ukiendelea kutengeza mkwanja mrefu, jiunge sasa na uwe miongoni mwa mabingwa!!

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

2 Komentara

    Vijana wamekomaa

    Jibu

    Mtibwa wanatakiwa kujipanga sana msimu ujao

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.