Klabu ya Tottenham wanataka kumsajili mshambuliaji wa Manchester United na Ufaransa, Anthony Martial katika majira haya ya kiangazi.

Siku za Anthony Martial katika klabu ya Manchester United inasemekana zinahesabika hasa baada ya kusajiliwa kwa Jadon Sancho kutoka Borussia Dortmund.
Martial amekosa mechi nyingi msimu uliopita kwasababu ya majeraha huku akikosa nafasi ya kuanza katika kikosi cha kwanza cha meneja Ole Gunnar Solskjaer.
Mashetani Wekundu wanataka kumuuza mchezaji huyo wa kimataifa wa Ufaransa kwa pauni milioni 50 ($ 69m) na The Daily Star inaarifu Tottenham wanataka kupata huduma za mchezaji huyo.
Kasino ya Mayan Eagle inakukufanya kuwa bingwa wakati wowote unapoamua kuicheza. Utaburudika huku ukiendelea kutengeza mkwanja mrefu, jiunge sasa na uwe miongoni mwa mabingwa!!



Ernest
Mabalaa yameanza ulaya