Kiungo wa Yanga SC anatarajia kumaliza muda wake ndani ya klabu hiyo, Haruna Niyonzima ameweka wazi kwamba ataendelea kucheza soka katika timu nyingine baada ya kuachana na miamba hao wa Tanzania.
“Naachana na Yanga ila sijaacha soka”. Hiyo ni kauli ya kiungo wa Yanga Haruna Niyonzima anayetarajiwa kuagwa rasmi kesho Alhamis wakati timu yake
“Ninaachana na Yanga tu ila bado ni mchezaji, watu wasifikilie kuacha kucheza Yanga ndio nimeacha mpira hapana mimi bado sana na nina nguvu.
“Kitendo cha uongozi wangu wa Yanga kuandaa jambo kwa ajili yangu ni heshima kubwa na haitoweza kusahaulika katika maisha yangu ya soka,” alisema.
Niyonzima amesisitiza kuwa kwa sasa anaangalia maisha mengine huenda akaendelea kucheza hapa Tanzania ikitokea timu yoyote ikimhitaji na wakafikia makubaliano.
Ndio, kama bado hujajiunga na Familia ya Mabingwa ya Meridianbet, huu ndio wakati wako! Tunakupatia Bonasi ya 3,500 Tsh papo hapo kama sehemu ya ukaribisho!
Chiku
Fiston namkubali sani