Nyumbani Tafuta
yanga - matokeo ya utafutaji
Endapo haujapendezwa na utafutaji basi tafuta tena
Morrison Arejea Kikosini Yanga
Kiungo mshambuliaji wa Yanga raia wa Ghana, Bernard Morrison, amerejea kikosini baada ya kutatua matatizo yake na uongozi pamoja na benchi la Ufundi chini...
Wapinzani wa Yanga na Simba FA ni Hawa.
Baada ya michezo yote ya hatua ya 32 kutamatika hiyo jana, timu 16 zimefuzu kutinga hatua ya 16 bora miongoni mwa timu hizo ni...
Kocha Rhino Aponzwa na Kauli Zake Yanga
Kocha mkuu wa Rhino Rangers ya mkoani Tabora Athumani Bilali 'Bilo' ni kama kauli zake zimemponza, baada ya timu yake kuchezea kichapo kikali cha...
Yanga Yaipasua Rhino Rangers kwa Mkapa
Klabu ya Yanga imeishikisha adabu timu ya Rhino Rangers hapo jana katika dimba la Mkapa baada ya kuitandika kwa mabao 7-0 kwenye mchezo wa...
Cedric Kaze Awataka Wachezaji Yanga Kutoidharau Rhino
Kocha msaidizi wa timu ya wananchi Cedric Kaze amewataka wachezaji wa timu yake kutowadharau Rhino Rangers ya mkoani Tabora kwenye mchezo wa leo hatua...
Aliyejifunga Yanga vs Ruvu Shooting Afunguka Sababu
Mchezaji wa Ruvu Shooting aliyewazawadia Yanga SC goli la kujifungwa Mpoki Mwakinyuke ametoa ufafanuzi juu ya tukio hilo ambalo liliwaacha midomo wazi mashabiki na...
Kiungo wa Newcastle Aigomea Yanga
Taarifa zinasema viongozi wa Yanga SC wameiomba TFF kumuondoa kwenye orodha ya wachezaji wa kigeni mchezaji wao Gael Bigirimana kutoka Burundi, ili Kampisha Beki...
Manara Alia na Mashabiki wa Yanga
Aliyekuwa msemaji wa Klabu ya Yanga Haji Manara, ameeleza kuwa haridhishwi na idadi ya mashabiki wanaojitokeza kushuhudia mechi za timu hiyo kwa siku za...
Yanga Yamalizana na Fei Toto Mwezi Januari
Mabingwa mara 28 wa Ligi Kuu Tanzania Bara Yanga inaripotiwa kuwa wameendelea kutekeleza kanuni za mkataba wa kiungo wao Feisal Salum "Fei Toto" kama...
Ruvu Shooting ni Vibonde wa Yanga Sana
Mchezo mwingine wa NBC unatarajiwa kuwakutanisha kati ya mabingwa watetezi wa Ligi Yanga dhidi ya Maafande Ruvu Shooting ambao kwasasa wako chini ya kocha...