UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa kazi kubwa ni kupata pointi tatu kwenye mechi ambazo wanacheza ikiwa ni mchezo dhidi ya Yanga. Odds kubwa, kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti ni njia rahisi ya kukupa mtonyo mrefu. Ingia mchezoni hapa.
Kariakoo Dabi inatarajiwa kuchezwa Aprili 20 2024 ambapo Yanga walimabingwa watetezi watawakaribisha Simba. Simba imetoka kupata pointi moja dhidi ya Ihefu kwenye mchezo wa ligi uliochezwa Uwanja wa Liti, baada ya kulazimishwa sare ya bao 1-1 huku Mnyama akitokea nyuma kwa bao la mkwaju wa penati lililofungwa na Chama Clatous.
Ahmed Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba amesema wapo tayari kwa ajili ya mechi zinazofuata ndani ya ligi. Jisajili na Meridianbet upate bonasi za kasino kibao na odds kubwa za ubashiri kwa machaguo kibao.
“Tunatambua kwamba tunamechi ngumu ambazo tunacheza hivyo tupo tayari kwa ajili ya kupata matokeo chanya mashabiki wazidi kuwa pamoja nasi.
“Wachezaji wapo tayari na wanatambua kwamba kila mchezo ni muhimu kwetu sisi kupata ushindi, matokeo ambayo tunapata hayatufurahishi hivyo bado tunajipanga kupata matokeo,”.