Kikosi cha Mamelodi Sundowns kimewasili usiku wa kuamkia leo katika uwanja wa ndege wa Julius Nyerere tayari kabisa kukipiga na Yanga SC katika mchezo wa Robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Bashiri mechi hii kwa odds kubwa kutoka Meridianbet.
Kundi la kwanza la wachezaji waliokuwa katika timu ya taifa ya Afrika Kusini Bafana Bafana limewasili hapa Dar, kwa ndege ya abiria ambayo iliwaleta mpaka hapa na kupokelewa na wenyeji wao.
Katika msafara huo ulikuwa na wachezaji watano (5) Teboho Mokoena, Themba Zwane, Aubrey Modiba, Ronwen Williams mlinda mlango bora wa mashindano ya AFCON 2023, pamoja na Mothobi Mvala. Hawa ni moja kati ya wachezaji tegemezi kabisa wa Mamelodi Sundowns hivyo Yanga wanapaswa kuwachunga. Meridianbet wanakupa machaguo zaidi 1000 kwenye mechi hii, bashiri kwa odds kubwa na ushinde.
Kundi la pili la wachezaji wa Masandawana linategemewa kuwasili hii leo, na kuanza kufanya maandalizi kamili ya mchezo huo utakaopigwa Siku ya Jumamosi Machi 30 majira ya 3:00 Usiku katika dimba la Benjamin Mkapa. Je nafasi ya Yanga unaiona wapi kwenye mchezo huu? Beti na Meridianbet kwa ushindi rahisi na furahia ushindi mkubwa ukicheza kasino ya mtandaoni, utapata bonasi za kasino na michezo mingi ya sloti. Ingia mchezoni.
Kwenye msafara wa kundi la kwanza, nae kiungo mshambuliaji wa Yanga Pacome alionekana akiwasili kutoka kwenye majukumu ya timu ya taifa ya Ivory Coast, Pacome alipata ndege moja na wachezaji wa Mamelodi.
Jisajili na Meridianbet upate bonasi za kasino kibao na odds kubwa za ubashiri kwa machaguo kibao.