Baada ya kukabidhiwa mikoba ya Carlo Ancelotti na kuanza maandalizi ya msimu mpya akiwa Everton, Rafa Benitez ametangaza benchi lake la ufundi klabuni hapo.
Miongoni mwa waliotajwa kwenye benchi la ufundi la Rafa Benitez ni Francisco de Miguel Moreno na Duncan Ferguson ambao watakuwa makocha wasaidizi wa Everton wakisaidiana kwa ukaribu zaidi na kocha huyo.
Antonio Gomez ambaye alikuwa Real Madrid, ataungana na benchi la ufundi la kikosi cha kwanza akiwa kama mchambuzi wa masuala ya soka ndani ya uwanja.
Vilevile, Alan Kelly kama ambavyo alithibitishwa siku ya kwanza Benitez alipokabidhiwa Everton – ataendelea kuwa kocha wa makipa klabuni hapo.
Ndio, kama bado hujajiunga na Familia ya Mabingwa ya Meridianbet, huu ndio wakati wako! Tunakupatia Bonasi ya 3,500 Tsh papo hapo kama sehemu ya ukaribisho!



Chiku
Kila atua dua