Mchezaji wa zamani wa Liverpool Daniel Sturridge amepewa ofa ya kufanya majaribio katika klabu ya Real Mallorca ya Hispania.
Mchezaji huyo alijipatia umaarufu akiwa na Liverpool alikaa nje ya uwanja kwa miezi 15 kutokana na kufungiwa kwa kuvunja sheria kwa kuhusika na masuala ya betting kitu ambacho hakiruhusiwi.
Sturridge hana timu toka Machi 2020 alipoondoka Trabsonspor ya Uturuki kutokana na kufungiwa miezi minne zaidi.
Daniel Sturridge alianza kufungiwa wiki sita Julai 2019 kutokana na kutoa taarifa kwa ndugu zake kuhusu majadiliano yanayoendelea kuhusiana na uhamisho wake.
Je, Daniel anaweza kurejea kwenye soka na akang’aa tena au ndo maisha yake ya soka yamefikia tamati?
Ndio, kama bado hujajiunga na Familia ya Mabingwa ya Meridianbet, huu ndio wakati wako! Tunakupatia Bonasi ya 3,500 Tsh papo hapo kama sehemu ya ukaribisho!



Chiku
Mchezaj mkubwa mwenye kipaji chake