Jules Kounde Atupilia Mbali Ofa Ya Tottenham

Klabu ya Tottenham ya Uingereza ilipata moja ya pigo kubwa baada ya mchezaji wa Sevilla Jules Kounde kukataa ofa yao.

Sevilla wanatumaini kumuuza mchezaji wao bora sana ambaye anacheza nafasi ya beki wa kati ili waweze kuongeza pesa kwa ajili kufanya usajili zaidi.

Tottenham wamekuwa wakihitaji saini ya Kounde kwa muda sasa na wapo tayari kutoa r €30m (£25.6m) na kumtoa Davinson Sanchez kama sehemu ya mabadilishano lakini taarifa rasmi zinasema kuwa Kounde amekataa ofa hiyo.

Jules ameeleza kuwa yupo tayari kusalia Sevilla kwa msimu mwingine kama hakutokuwa na timu nyingine itakayohitaji huduma yake.

Bei ya Jules ni €80m (£68m) pamoja na ada ya kuvunja mkataba lakini Sevilla wanajua kuwa kuna ugumu mkubwa sana kupata timu itakayotoa dau hilo.

Kounde akataa ofa ya Tottenham
Timu ya La liga ya msimu wa 2020/2021

Mchezaji huyo alimaliza msimu wa 2020/2021 akiwa miongoni mwa wachezaji waliopanda chati sana na alimaliza msimu akiwa miongoni mwa kikosi bora cha msimu cha Laliga sambamba na kisa Benzema na Messi.


JIUNGE NA FAMILIA YA MABINGWA!

Ndio, kama bado hujajiunga na Familia ya Mabingwa ya Meridianbet, huu ndio wakati wako! Tunakupatia Bonasi ya 3,500 Tsh papo hapo kama sehemu ya ukaribisho!

Italia, Italia Bingwa Euro 2020., Meridianbet

JIUNGE SASA!

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.