Simba SC Wakubali Kipigo Kaitaba.

 

Klabu ya Simba SC imekubali kipigo katika mchezo wetu wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Kagera Sugar uliofanyika Uwanja wa Kaitaba mkoani Kagera kwa kupoteza kwa bao moja.

 

Simba SC walianza mchezo kwa kasi na kuliandama lango la Kagera huku wakimiliki sehemu kubwa na kutengeneza nafasi lakini wachezaji walikosa umakini wa kutumia nafasi.

Mzamiru Yassin, Shomari Kapombe na Bernard Morrison walikosa utulivu na kukosa nafasi tatu ta zawazi ambazo zingewapeleka mapumziko kwa mabao matatu.

Kipindi cha pili mabingwa hao watetezi walirejea kwa kasi tena ambapo dakika ya 45 shuti kali lililopigwa na Morrison lilipaa juu kidogo ya lango la Kagera.

Dakika ya 70 Hamis Kiiza aliwapatia wenyeji bao la ushindi baada ya shambulizi la kushtukiza kufuatia wachezaji wa Simba SC kupanda kwenda kushambulia.


VUNA MKWANJA NA KENO

Dakika tano pekee zinakutosha kuwa mmoja wa washindi wa mkwanja mrefu ndani ya kasino pendwa ya meridianbettz katika sloti maridhawa ya KENO, moja ya michezo inayoipa thamani dau lako.

tetesi, Tetesi za Soka barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe