Taarifa ya TFF Kuelekea Dabi ya Kariakoo.

 

Taarifa ya TPLB ikieleza tiketi za mchezo huo zitakazouzwa ni 13, 782 tu na sio vinginevyo. Mashabiki ambao walikata tiketi kwa ajili ya mchezo uliuoahirishwa Mei 08 watatumia kadi zao za N-CARD kuingia uwanjani.

Katika tiketi 13,782 zitakazouzwa, tiketi 2,218 ni za jukwaa la kijani (mzunguko), tiketi 11,280 ni za jukwaa la machungwa (Orange) na tiketi 284 za VIP B.

Taarifa hiyo imeeleza kuwa hakutokuwa na tiketi za VIP A na VIP C zitakazouzwa kwa ajili ya mchezo huo.

Taarifa hiyo imebainisha gharama za tiketi zitakazouzwa ni kama ifuatavyo;

Mzunguko – Tsh. 7,000
Machungwa – Tsh. 10,000
VIP B – Tsh. 20,000


KUSANYA PESA HAPA!

IcyGems kupitia Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet. Ndio, ukiwa kwenye nyumba ya mabingwa, ndipo utakapoufurahia ubora wa Kasino ya Mtandaoni sambamba na kushinda kwa ushindi mkubwa! Ishi na hii, IcyGems!Meridianbet

INGIA MCHEZONI

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.