Pjanic Kujiunga na Sharjah

Klabu ya Sharjah ya Uarabuni  inatarajia kukamilisha usajili wa Pjanic Sharjah kutoka FC Barcelona. Mchezaji huyo ambaye ni raia wa Bosnia anacheza katika nafasi ya kiungo kwenye kikosi chake ana miaka 32.

 

Pjanic Kujiunga na Sharjah

Miralem Pjanic anaweza kwenda jumanne hii ili kujadili maelezo ya mkataba wake wa miaka mitatu na kisha kusaini kandarasi mpya kama mchezaji mpya wa Sharjah. Mchezaji huyo imekuwa ni ngumu kwake kupata nafasi ya kuanza katika kikosi hicho cha Xhavi Hernandez hivyo ni bora kutafuta changamoto mpya.

 

Pjanic Kujiunga na Sharjah

Mchezaji huyo anaenda kuitumikia timu hiyo ya Uarabuni ambayo inashiriki Pro League na mpaka sasa imecheza mchezo mmoja na imeshinda mchezo huo. League hiyo ambayo ina timu 14 tu zinazoshiriki league hiyo tu.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.