Simba Yashusha Mzanzibar Mmoja ni Nani Huyo?

Kama wewe ulidhani Simba wamemaliza kutambulisha vyuma vyao basi, sahau na futa kabisa fikra hizo ni hatari kwa afya yako na mpira kwa ujumla, habari ziko hivi wameshusha chuma kingine kutoka visiwa vya karafuu Zanzibar. Odds kubwa za soka unazipata Meridianbet.

 

simba

Baada ya usiku wa kuamkia leo Simba kumtambulisha straika wa magoli aliyekuwa anakipiga TP Mazembe Jean Baleke wakaona haitoshi bado kuna kitu hakiko sawa kwenye safu ya ushambulaiji na kuamua kumtambulisha Mohammed Mussa kutoka Malindi FC ya Zanzibar. Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kubashiri.

Mohamed Mussa akitokea klabu ya Malindi inayoshiriki ligi kuu ya Zanzibar kwa mkataba wa miaka mitatu, sasa huenda akawa ni mrithi wa nahodha John Bocco ambaye anaelekea mwishoni mwishoni lakini bado yumo. Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, Usikose hii!!.

Mussa ambaye aliwahi kukipinga katika klabu za Gwambina na Mbeya City, mbali na kucheza kama mshambuliaji pia anamudu kucheza kama kiungo wa nafasi zote za pembeni. Meridianbet wanatoa ODDS kubwa kwenye mechi zote. Bashiri hapa.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.