Mason Greenwood Afutiwa Mashtaka

Winga wa Manchester United Mason Greenwood ameweza kufutiwa mashtaka yake yaliyokua yanamkabili leo katika mahakama inayopatikana katika jiji la Manchester.

Mason Greenwood ambaye amekaa nje ya uwanja kwa takribani mwaka mmoja sasa amefutiwa mashtaka yake yaliyokua yakimkabili mapema leo, Winga huyo alikua anatuhumiwa kumfanyia vitendo vya unyanyasaji wa kingono aliyekua mpenzi wake.Mason GreenwoodWinga huyo ambaye alikua anaanya vizuri ndani ya klabu ya Manchester United aliweza kukubwa na tuhuma za unyanyasaji wa kingono dhidi ya mpenzi wake mwishoni mwa mwaka 2021,Kitendo kilichofanya kukakaa nje ya uwanja kwa muda wote akishughulika na kesi yake.

Mchezaji Mason Greenwood alitolewa kwenye kikosi cha Manchester United pamoja na makampuni mbalimbali ambayo yalikua yamesaini makataba na mchezaji huyo kuvunja mkataba kwa mfano kampuni ya vifaa vya michezo ya Nike. Kampuni ya Nike ambayo ndio ilikua inamvalisha mchezaji huyo iliamua kuvunja mkataba kutokana na tuhuma zilizokua zimempata mchezaji huyo wa Manchester United.Mason GreenwoodMason Greenwood alipitia changamoto nyingi baada ya kukubwa na tuhuma za kumfanyia unyanyasaji wa kingoni aliekua mpenzi wake, Lakini mahakama leo jijini Manchester imeweza kuweka wazi kua mchezaji huyo hana hatia yeyote na anaweza sasa kurudia kuendelea na majukumu yake ya kila siku kama mchezaji w klabu ya Manchester United.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.