Sakho Atupia Bao Bora la Ligi Kuu

Mshambuliaji hatari wa Simba Pape Ousmane Sakho amefunga goli moja bora sana, ambalo mpaka sasa kwenye Ligi kuu halijafungwa na mchezaji mwingine wa timu yeyote. Odds kubwa za soka unazipata Meridianbet.

 

sakho

Sakho alifunga bao la kiwango cha kimataifa dhidi ya Singida BS jana kwenye dimba la Mkapa, bao hilo liliipa ushindi mzuri Simba wa mabao 3-1 na kufikisha alama 53 wakibakiza alama 3 tu kuwafikia Yanga ambao ni vinara wa Ligi. Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kubashiri.

Sakho ambaye ni nyota wa Kimataifa wa Senegal mpaka sasa amefunga magoli 7, kwenye michezo yota aliyoichezea klabu yake ikiwemo mchezo wa Jana dhidi ya Singida BS.

 

simba

Goli hilo ambalo lilifungwa kwa asisti mujarabu kutoka kwa Beki wa Kulia wa Simba SC Shomari Kapombe ‘Show me the way’, ilimkuta kiungo huyo kwenye nafasi nzuri akiwa anausubri na kuutupia kimiani. Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, Usikose hii!!.

Ikumbukwe kuwa alishwahi kufunga bao kama hilo kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika, dhidi ya Asec Mimosas kwenye dimba la Mkapa, bao hilo lilitunukiwa kuwa goli bora la mashindano ya CAFCL. Meridianbet wanatoa ODDS kubwa kwenye mechi zote. Nenda duka la kubashiri/kubetia uweke ubashiri wako.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.