Manchester City Wahofia Rodri Kuchukuliwa na Barcelona

FC Barcelona imeripotiwa wanamtaka kiungo wa Manchester City Rodri, ili kuwa mrithi wa kudumu wa Sergio Busquets ambaye muda wowote anaweza kuaga Catalunya.Odds kubwa za soka unazipata Meridianbet.

 

rodri

Barcelona wamechukua wachezaji wachache kutoka Man City katika miaka ya hivi karibuni. Kwa mfano, kikosi chao cha sasa kinawajumuisha Eric Garcia na Ferran Torres, ambao wote waliwahi kuichezea City chini ya Pep Guardiola.

Kutokana na hadhi ya klabu hiyo, Barcelona mara nyingi hutajwa kuwa mahali pazuri pa kutua kwa wachezaji wengine ambao wanaweza kuhitaji changamoto mpya baada ya kuwakilisha timu nyingine yenye mafanikio kama City.

Kwa mujibu wa Football Insider, mchezaji anayefuata kuchukua hatua kama hiyo anaweza kuwa Rodri. Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kubashiri.

Tovuti hiyo inaeleza kuwa Barcelona wanaonyesha nia ya kumnunua mchezaji huyo wa kimataifa wa Hispania huku wakitafuta mrithi wa muda mrefu wa Sergio Busquets kwenye safu ya kiungo.

Na kwa upande wao, viongozi wa Man City wanaamini Rodri anaweza kutaka kurejea La Liga. Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, Usikose hii!!

Kumpoteza itakuwa pigo kubwa kwa Guardiola, kwani Rodri amecheza mechi zaidi ya 180 tangu ajiunge na City akitokea Atletico Madrid mwaka 2019.

Msimu huu, amehusika mara 31 katika mashindano yote, akianza mechi zote isipokuwa moja ya Ligi Kuu ya City hadi sasa. Meridianbet wanatoa ODDS kubwa na zawadi ya ukaribisho ukijiunga. Bashiri hapa.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.