Kocha wa Manchester City Pep Guardiola amefichua kuwa Phil Foden atarejea kwenye kikosi cha Manchester City dhidi ya Bayern Munich. Odds kubwa za soka unazipata Meridianbet Kasino ya mtandaoni, sloti, Poker, Aviator na Roulette- Chagua Tukupe.
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 22 amekosa mechi nne za mwisho za City katika mashindano yote kutokana na ugonjwa wa “appendicitis”
Tangu wakati huo amefanyiwa upasuaji baada ya kujiondoa kwenye kikosi cha England mwezi uliopita, na hivi karibuni alisema anajisikia ‘vizuri zaidi’. Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni.
Mashabiki wa City watatamani kumuona akirejea haraka iwezekanavyo kwa wiki za mwisho za msimu, na anaweza kucheza dhidi ya Bayern, unaweza kutabiri mchezo huu kupitia Meridianbet odds kubwa na machaguo kibao.
Akizungumza na vyombo vya habari kabla ya mechi ya mkondo wa pili wa robo fainali, kocha wa City Guardiola alisema: “Tumefurahi amerejea. Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.
“Bila shaka ni habari njema kwetu. Amefanya mazoezi mara moja tu jana lakini tuliamua angesafiri nasi na kuwa kwenye benchi.
Alipoulizwa Foden anaweza kucheza dakika ngapi, Guardiola alisema: “Sijui dakika 90 kwa hakika hapana. Lakini mwili wake ni mzuri. Ni mchezaji bora ambaye hahitaji vipindi vingi vya mazoezi kuwa fiti.
“Lakini yeye ni muhimu sio tu kwa kesho, lakini kwa ratiba ngumu tuliyo nayo mbele yetu.”
Pata Odds za soka ukiwa na Meridianbet na kasino ya mtandaoni.


