Imeripotiwa kuwa Marcus Rashford alimsaidia mchezaji wa Aston Villa Alisha Lehmann baada ya kuandamwa na watu katika kumbi ya starehe huko Manchester. Odds kubwa za soka unazipata Meridianbet Kasino ya mtandaoni, sloti, Poker, Aviator na Roulette- Chagua Tukupe.
Kwa mujibu wa gazeti la The Sun, nyota huyo wa Man United alikuwa nje na marafiki zake alipomuona kiungo huyo wa Aston Villa akiingia ndani. Mara ghafla Lehmann na marafiki zake walizungukwa na kikundi cha watu, na kupelekea Rashford kuingilia kati.
Mchezaji huyo wa kimataifa wa Uingereza anasemekana kuwaalika Lehmann na marafiki zake katika sehemu yake ya VIP ili wafurahie usiku wao kwa amani.
Chanzo kutoka Chinawhite mjini Manchester kiliiambia The Sun: “Marcus Rashford alisafisha meza na kumwalika yeye na marafiki zake wajiunge nao. Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni.
“Ilikuwa mara ya kwanza kukutana lakini alijua Alisha ni yupi.
“Walibadilishana maneno machache na akamshukuru kisha wakaendelea na sherehe na marafiki zao tofauti.
“Alidhani yeye ni shujaa.”
Lehmann ni mmoja wa nyota mashuhuri wa mpira wa miguu wa wanawake. Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.
Pamoja na kuwa mchezaji muhimu wa Aston Villa Women, mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 24 pia ana wafuasi milioni 13 kwenye Instagram. Pata Odds za soka ukiwa na Meridianbet na kasino ya mtandaoni.


