Azam FC Yamtambulisha Youssouph Dabo Kama Kocha Mkuu Msimu Ujao

 

Klabu ya Azam FC  wamefanya usajili wa kocha mkuu anayejulikana kwa jila la Youssouph Dabo kutoka Senegal kwa ajiili ya kuinoa timu hiyo kwa mkataba wa miaka 03 kuanzia msimu ujao.
Azam FC Yamtambulisha Youssouph Dabo Kama Kocha Mkuu Msimu Ujao

Dabo ni raia wa Senegal mwenye umri wa miaka 43 na uzoefu kwenye soka la Afrika.

Dabo amewahi kuwa kocha wa mchezaji wa Simba SC, Pape Ousmane Sakho wakati akiitumikia Tengueth FC ya Senegal pamoja na Malickou Ndoye beki anayecheza Azam FC kwa sasa.

Amewahi pia kufundisha klabu ya Jaraaf FC na hapo awali Stade de Mbour na Guediawaye zote za Senegal.

Azam FC Yamtambulisha Youssouph Dabo Kama Kocha Mkuu Msimu Ujao

Kocha huyo pia amewahi kuifundisha timu ya taifa ya Senegel ya vijana wenye umri chini ya miaka 20 ( Senegal U20 )

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.