Sam Allardyce yuko tayari kurejea kwa kasi kwenye Premier League akiwa na kikosi cha Leeds United ambao wanafikiria kumpa kandarasi ya kukinoa kikosi chao. Odds kubwa za soka unazipata Meridianbet Kasino ya mtandaoni, sloti, Poker, Aviator na Roulette- Chagua Tukupe.
Leeds Utd wanatarajiwa kumtimua Javi Gracia siku ya Jumanne, huku kocha wa zamani wa Uingereza Allardyce akipewa nafasi ya kumalizia mechi nne za mwisho za Ligi Kuu ya Uingereza msimu huu.
Gracia aliteuliwa mwezi Februari na Allardyce atakuwa kocha mkuu wa nne wa Leeds msimu huu baada ya Jesse Marsch na kuteuliwa kwa muda Michael Skubala. Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni.
Mkurugenzi wa michezo Victor Orta, ambaye alimwajiri Gracia, pia anapambana kuokoa kazi yake baada ya majadiliano ya kina ya baraza siku ya Jumatatu.
Leeds wamestahimili hali mbaya na wanakaa nafasi ya 17 kwenye msimamo, sawa kwa pointi na Nottingham Forest walio katika nafasi ya 18.
Waliruhusu mabao 23 mwezi Aprili, rekodi mpya ya Ligi kuu kwa mabao dhidi ya mwezi mmoja, baada ya kulala kwa 5-1, 6-1 na 4-1 kutoka kwa Crystal Palace, Liverpool na Bournemouth mtawalia.
Siku ya Jumapili usiku kundi la mashabiki, Bodi ya Ushauri ya Wafuasi wa Leeds United ilipiga kura ya kutokuwa na imani na bodi ya klabu na meneja Gracia. Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.
Leeds itacheza kesho Jumamosi, dhidi ya viongozi Manchester City, wakati ambapo Big Sam anaweza kuwa dimbani unaweza kubashiri mchezo huu kupitia Meridianbet odds kubwa. Pata Odds za soka ukiwa na Meridianbet na kasino ya mtandaoni.
LEEDS FAINALI MICHEZO MINNE
Man City (A)
Newcastle (H)
West Ham (A)
Tottenham (H)


