Kai Havertz amefichua kushangazwa kwake kufukuzwa kwa aliyekuwa kocha wa timu hiyo Thomas Tuchel, mwanzoni mwa msimu huu huku akitoa uamuzi wa kusikitisha juu ya kampeni mbaya ya Chelsea. Odds kubwa za soka unazipata Meridianbet Kasino ya mtandaoni, sloti, Poker, Aviator na Roulette- Chagua Tukupe.
Kocha wa sasa wa Bayern Tuchel alitimuliwa na Chelsea katika mechi saba pekee msimu huu wakati walipokuwa wamekaa nafasi ya sita kwenye EPL, na walikuwa na mwanzo mbaya katika Ligi ya Mabingwa.
Tangu wakati huo, The Blues wamemfukuza Graham Potter na kumteua Frank Lampard hadi mwisho wa msimu. Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni.
Chelsea wako katika nafasi ya 12 kwenye msimamo wa ligi na walitoka katika Ligi ya Mabingwa dhidi ya Real Madrid katika robo fainali.
Havertz, ambaye amefunga mabao 9 katika mechi 41 msimu huu, alisema anahisi kufukuzwa kwa Tuchel kumefanya timu hiyo kuwa na msimu mbaya. Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.
“Kila kitu ambacho kinaweza kwenda vibaya kilituendea vibaya mwaka huu,” Havertz aliliambia chapisho la Ujerumani la Kicker.
“Msimu ulianza kwa utulivu kiasi. Tulikuwa na mabadiliko ya umiliki ambayo yalikuwa mabadiliko makubwa kwa klabu.
“Na kisha Thomas Tuchel alifukuzwa kazi, ambayo bila shaka huwa inaleta mabadiliko katika timu kama hii wakati umefanikiwa ukiwa na kocha na anafukuzwa bila ya shaka.”
Chelsea wameanza vibaya maisha chini ya gwiji wa klabu Lampard, kwa kushindwa mara tano mfululizo na kuwaacha wakiwa nafasi ya 12 kwenye msimamo, na ingawa kushushwa daraja sio jambo la kusumbua, wana pointi tisa pekee kutoka kwenye timu tatu za mwisho.


