Mtanzania Alex Mpini Kushuka Ulingoni leo| Uzito wa Juu 92kg| Bashiri Meridianbet Cheza Kasino ya Mtandaoni ushinde.
Bondia Alex Sita Mpini anatarajiwa kupanda ulingoni leo mchana kupigana dhidi ya Mourad Kadi katika uzani wa Super heavyweight 92+ IBA Ubingwa wa Dunia Tashkent 2023, Uzbekistan.
Alex aliyevuka hatua ya awali kwa ratiba, sasa atapambana katika hatua ya 32 bora Duniani kwenye bout no. 176 itakayoanza kuanzia majira ya saa 7.00 mchana muda wa Tanzania, Ring B.


