Jezi Mpya za Liverpool 2023/24 | Wimbo wa Taifa Kuimbwa Jumamosi

liverpool

Liverpool yatangaza jezi za msimu wa 2023/24| Mechi ya Jumamosi kuimba wimbo wa taifa tukio la kutawazwa kwa Mfalme Charles III.

Liverpool wametangaza kuimba wimbo wa taifa kwenye mechi ya Jumamosi dhidi ya Brentford kuashiria kutawazwa kwa Mfalme Charles III. Odds kubwa za soka unazipata Meridianbet Kasino ya mtandaoni, sloti, Poker, Aviator na Roulette- Chagua Tukupe.

Taarifa kutoka ndani ya klabu hiyo ilisema: “Kabla ya kuanza kwa Ligi Kuu na kwa kutambua ombi la Ligi Kuu ya kuashiria kutawazwa, wachezaji na viongozi watakusanyika katikati mwa duara la uwanja wakati wimbo wa taifa utakapopigwa.

“Bila shaka, ni chaguo la kibinafsi jinsi wale wa Anfield Jumamosi wakiadhimisha tukio hili na tunajua baadhi ya wafuasi wana maoni makali juu yake.”

Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni.

Sambamba na hilo Liverpool imetambilisha jezi zao mpya za msimu wa 2023/24 ambazo ni maalum kwa mechi za nyumbani, bado jezi za ugenini na jezi namba tatu. maoni yako ni yapi kwenye jezi hizi.

Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.