Beki wa Chelsea Benoit Badiashile anatazamiwa kuzikosa mechi za mwanzo wa msimu 2023/24 kutokana na jeraha la paja. Odds kubwa za soka unazipata Meridianbet Kasino ya mtandaoni, sloti, Poker, Aviator na Roulette- Chagua Tukupe.
Mchezaji huyo wa kimataifa wa Ufaransa hakuwepo kwenye kipigo cha Chelsea 1-0 dhidi ya Manchester City Jumapili, na anatarajiwa kukaa nje ya uwanja kwa muda mrefu.
Kwa mujibu wa gazeti la The Evening Standard, Badiashile anatarajiwa kuwa nje kwa hadi miezi minne, baada ya kupata tatizo la paja akiwa mazoezini. Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye sloti na michezo ya kasino kama Poker, Aviator, Roulette.
Hakika ni pigo kwa kocha anayekuja Mauricio Pochettino, ambaye anatazamiwa kutangazwa kuwa meneja mpya wa klabu hiyo.
Badiashile alijiunga na Chelsea kwa kitita cha paundi milioni 35 kutoka Monaco mwezi Januari. Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni.
Mfaransa huyo sasa anaungana na Mason Mount, Reece James, N’Golo Kante, Mateo Kovacic na Ben Chilwell kwenye chumba cha matibabu. Pata Odds za soka ukiwa na Meridianbet na kasino ya mtandaoni.


