Jadon Sancho ameripotiwa kuwa na mazungumzo ya kina na kocha Erik ten Hag kuhusu mustakabali wake. Beti na Meridianbet kwa odds kubwa na machaguo kibao, pia unaweza kubashiri mubashara.
Nyota huyo wa Uingereza alifunga mabao saba pekee na kutoa pasi tatu za mabao katika mechi 41 katika michuano yote msimu uliopita. Ukiwa na meridianbet unapata odds kubwa, kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti.
Kwa mujibu wa gazeti la The Sun, Ten Hag amefanya mazungumzo ya ana kwa ana na kila mchezaji wa kikosi chake baada ya kushindwa katika fainali ya Kombe la FA dhidi ya Man City. Pata odds kubwa kutoka Meridianbet kwa mechi za ligi mbalimbali.
Na katika kikao chake na Sancho, ripoti hiyo inaongeza kuwa Mholanzi huyo alimwambia winga huyo ‘lazima athibitishe kuwa anaweza kuwa mtu muhimu’ Old Trafford. Tembelea duka la ubashiri-Meridianbet kutandika jamvi lako kwa odds kubwa.


