Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars), Adel Amrouche ameita majina 30 ya wachezaji wa taifa stars watakaoingia kambini kujiandaa na mchezo wa kufuzu AFCON dhidi ya Niger, utakaopigwa Juni 18, dimba la Benjamin Mkapa. Pata odds kubwa kutoka Meridianbet kwa mechi za ligi mbalimbali.
Haya hapa majina ya wachezaji wa Taifa Stars ambapo beki wa kulia na tegemezi kwa upande wa Simba, Shomari Kapombe jina lake halipo licha ya kwamba takwimu msimu huu zinambeba kwa kuonesha kiwango kizuri akiwa na Wanalunyasi.
Ukiwa na meridianbet unapata odds kubwa, kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti.
MAKIPA:
Metacha Mnata (Yanga)
Beno Kakolanya (Simba)
Vuai (KMKM)
Zuberi Foba (Azam)
MABEKI:
Datus Peter (Kagera)
Dickson Job
Kibwana Shomari
Bakari Nondo Mwamnyeto
Ibrahim Bacca (Yanga)
Mohammed Hussein Zimbwe Jr (Simba)
Kennedy Juma (Simba)
Novatus Dismac (Zulte, Ubelgiji)
Abdi Banda (Chippa, South Africa)
Lameck Lawi (Costal)
Beti na Meridianbet kwa odds kubwa na machaguo kibao, pia unaweza kubashiri mubashara.
VIUNGO:
Himid Mao Mkami (Ghazl, Egypt)
Adolph Mtasingwa Bitegeko (Völsungur ÍF, Iceland)
Aziz Andambwile (Singida)
Muzamir Yassin (Simba)
Mudathir Yahya (Yanga)
Ayoub Idrissa Bilal (Ankara, Uturuki)
Ben Starkie (Basford Utd, England)
Morris Abraham (Spartak Subotica, Serbia)
WASHAMBULIAJI:
Simon Msuva (Al Qadsiah, Saudi)
Abdul Suleiman Sopu (Azam)
Kibu Dennis (Simba)
John Tiber
Bernard Kamungo (FC Dallas, USA)
Adi Yusuph (Brackley Town, England)
Mbwana Samatta (Genk, Ubelgiji)
” Daud Loth pia tumemuita na atakuwa na timu licha ya kwamba ameumia lakini ataendelea kuwa kambini tunaamini ni sehemu ya msaada hapo baadaye ” – Adel Amrouche, Kocha wa Taifa Stars.
Tembelea duka la ubashiri-Meridianbet kutandika jamvi lako kwa odds kubwa.


