Xhaka Ataja Sababu za Kuondoka Arsenal

xhaka

Kiungo wa Bayer Leverkusen Granit Xhaka amebainisha kwamba alihitaji changamoto mpya wakati akielezea kuondoka kwake Arsenal. Tembelea duka la ubashiri-Meridianbet kutandika jamvi lako kwa odds kubwa.

Kiungo huyo wa kati wa Uswizi alihamia Bundesliga kwa uhamisho wa £21m baada ya kukaa miaka saba kaskazini mwa London.

Beti na Meridianbet kwa odds kubwa na machaguo kibao, pia unaweza kubashiri mubashara.

“Kulikuwa na uvumi kila mahali kwamba mke wangu hakuwa na furaha tena Uingereza. Hiyo si kweli hata kidogo,” Xhaka aliiambia Keystone-SDA.

“Ukweli ni kwamba kama mtu huwa navutiwa na changamoto mpya, baada ya miaka saba umefika wakati wa kitu kipya kabisa, ligi sio mpya, lakini klabu ni mpya.

“Wakati wa mazungumzo na Simon Rolfes [mkurugenzi wa michezo] na Xabi Alonso, nilihisi kuwa mradi wa muda mrefu huko Leverkusen ulikuwa wa manufaa na kwamba ulikuwa 100% sambamba na mimi.” Aliongeza Xhaka

Odds kubwa kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti ni vitu vinavyoweza kubadilisha maisha yako kwa kukupatia pesa nyingi. Ingia mchezoni hapa.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.