Mtibwa Kukipiga Dhidi ya Simba Leo

Ligi kuu ya NBC inatarajiwa kuendelea hii leo kwa mchezo mmoja ambapo klabu ya Mtibwa Sugar itawakaribisha Simba katika dimba la Manungu majira ya saa 10:00 jioni.

 

Mtibwa Kukipiga Dhidi ya Simba Leo

Baada ya Simba kutoka kuchukua Ngao ya Jamii kwa mikwaju ya penati dhidi ya watani wao Yanga, leo hii inaanza mechi yake ya kwanza ugenini huko Morogoro huku akihitaji pointi tatu muhimu.

Odds kubwa kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti ni vitu vinavyoweza kubadilisha maisha yako kwa kukupatia pesa nyingi. Ingia mchezoni hapa.

Mtibwa imesema kuwa imejiandaa kwa mchezo huu wa leo dhidi ya Mnyama na watahakikisha wanafanya vizuri kupata ushindi wakiwa nyumbani kwao ili waanze ligi vizuri.

Mtibwa Kukipiga Dhidi ya Simba Leo

Ikumbukwe kuwa msimu uliopita walima miwa walipigwa nje ndani na mnyama huku wakifungwa jumla ya mabao 8 bila ya wao kufunga hata goli moja.

Aviator, poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Piggy Party na mingine kibao upige pesa na Meridianbet. Ingia www. meridianbet.co.tz.

Je leo hii nani kuondoka na ushindi katika mechi ya kwanza ya ligi kwa kila timu?. Timu zote zimefanya usajili.

 

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.