Kifaru Awatoa Hofu Simba

Kifaru amesema kuwa wengi wanahofu juu ya hatma ya mchezo kati ya Mtibwa Sugar dhidi ya Simba SC kama utachezwa kutokana na taarifa ya kwamba mwenyeji wa Simba hajasajili wachezaji wake.

Kifaru Awatoa Hofu Simba

Meridian Sport imezungumza na Msemaji wa Mtibwa Sugar Thobias Ligalambwike Kifaru, kuelekea mchezo huo wa kukata na shoka unaotarajiwa kupigwa majira ya saa 10:00 jioni kwenye dimba la Manungu.

Odds kubwa kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti ni vitu vinavyoweza kubadilisha maisha yako kwa kukupatia pesa nyingi. Ingia mchezoni hapa.

“Kila kitu kipo sawa na tunasubiri muda ufike tuangalie namna ya kumfunga Simba, wachezaji wote wamesajiliwa na wapo tayari kwa mchezo wa leo, hivyo mashabiki wasiwe na hofu timu yao imejipanga msimu huu” Alisema Kifaru.

Kifaru Awatoa Hofu Simba

Aviator, poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Piggy Party na mingine kibao upige pesa na Meridianbet. Ingia www. meridianbet.co.tz.

Simba SC leo anatupa karata yake ya kwanza kwenye mchezo wa Ligi kuu ya NBC, huku malengo yao kwa msimu huu ni kutwaa ubingwa wa Ligi.

Acha ujumbe