Ismail Rage Awapa Mbinu Kitayosce FC

Mtaalam wa kanuni za SOKA Ismail Aden Rage amezungumzia suala lililotokea jana kwenye uwanja wa Azam Complex.

Ismail Rage Awapa Mbinu Kitayosce FC

Mchezo kati ya Azam FC na Kitayosce FC ya Tabora kumalizwa kikanuni na wanalambalamba kushinda mabao 4-0

Odds kubwa kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti ni vitu vinavyoweza kubadilisha maisha yako kwa kukupatia pesa nyingi. Ingia mchezoni hapa.

“Nilishangazwa na lile tukio la wachezaji kungia nusu, nilishuka jukwaani nikaelekea kwenye vyumba vya kubadilishia nguo (Dressing Room), kwa jinsi hali ilivykuwa niliwapa mbinu ya kufanya”

Ismail Rage Awapa Mbinu Kitayosce FC

Alipoulizwa ni mbinu gani aliyowapa wachezaji wa Kitayosce ambao wawili waliumia na kufanya mchezo umalizike kikanuni, Rage alisema:

Aviator, poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Piggy Party na mingine kibao upige pesa na Meridianbet. Ingia www. meridianbet.co.tz.

Niliwapa mbinu ya kwenda TFF na mimi nitawasaidia kwa sababu najua kanuni za Soka, ni kweli wachezaji wawili waliumia na kukimbizwa hospitali. Rage alimaliza hivyo.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.