Manchester United Waisogelea Nafasi ya Ligi ya Mbingwa Baada ya Kuichapa Brentford

Klabu ya Manchester United imekaribia kufuzu kwa UEFA Champions League msimu ujao baada ya ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Brentford F.C. katika mchezo wa kusisimua wa Ligi Kuu England uliochezwa Old Trafford.

Manchester United Waisogelea Nafasi ya Ligi ya Mbingwa Baada ya Kuichapa Brentford  Mchezo ulianza kwa kasi ambapo Kobbie Mainoo alionyesha ustadi mkubwa kabla ya kumpasia Amad Diallo, lakini juhudi hiyo ilizuiwa na beki Sepp van den Berg akiwa mstari wa goli.

Bila kusahau meridianbet ndio wakali wa ODDS KUBWA, Machaguo zaidi ya 1000 na kila kitu ukitakacho. Bashiri kijanja hapa

Bao la kwanza lilifungwa dakika ya 11 kupitia Casemiro aliyemalizia pasi ya Harry Maguire iliyotokana na krosi ya Bruno Fernandes, huku Benjamin Šeško akiongeza la pili mwishoni mwa kipindi cha kwanza.

Manchester United Waisogelea Nafasi ya Ligi ya Mbingwa Baada ya Kuichapa Brentford  Akizungumzia ushindi huo, nahodha Bruno Fernandes alisema, “Tulihitaji ushindi huu muhimu na tumefanya kazi kubwa kama timu kuhakikisha tunabaki kwenye mbio za kufuzu Ligi ya Mabingwa.”

Manchester United Waisogelea Nafasi ya Ligi ya Mbingwa Baada ya Kuichapa Brentford  Kipindi cha pili kilishuhudia Brentford wakiongeza presha, na Mathias Jensen alifunga bao la kufutia machozi dakika ya 87, lakini haikutosha kuzuia ushindi wa United.

Manchester United Waisogelea Nafasi ya Ligi ya Mbingwa Baada ya Kuichapa Brentford  Kwa matokeo hayo, Manchester United sasa wanakaribia kufuzu Ligi ya Mabingwa na wanaweza kuthibitisha hilo watakapokutana na Liverpool F.C. katika mchezo ujao, huku Brentford wakiendelea kusaka nafasi ya kushiriki michuano ya Ulaya.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.