Klabu ya Chelsea yenye Makazi yake jijini London wameendelea kujiimarisha katika dirisha hili, kwa kukubali kutoa kitita cha £90m kwaajili ya kupata huduma ya kinda Kai Havertz.
Chelsea inasemekana ipo katika hatua ya mwisho ya makubaliano na Bayer Leverkusen juu ya kiungo mshambuliaji wao na wamekubali kulipa du hilo.

Blues watalipa dau la £72m kumsajili mchezaji huyo mwenye miaka 21, katika viunga vya darajani huku kiasi kinachobaki kitalipwa kama malupulupu.
Mchezaji huyo wa Ujerumani atavunja rekodi ya klabu ya Chelsea na kuwa mchezaji ghali zaidi, akivunja rekodi ya kipa Kepa Arrizabalaga aliyenunuliwa kwa dau la £72m kutoka Athletic Club mwaka 2018.
Havertz alikuwa na makubaliano hayo na klabu hiyo ya Bundasiliga angeondoka kama makubaliano na timu inayomuhitaji yangefikiwa.

Chelsea wanaendeleza mipango yao ya usajili wakiwa wamekwisha msajili Timo Wener na Hakimi Ziyech, huku wakiwa kwenye radar za kumchukua beki mkongwe Thiago Silva na Chilwell kutoka Leicester City.
Beti Mbio za Mbwa Mubashara
Hii ni rahisi zaidi! Hapa USHINDI unaupata kwa kuchagua mbwa anayeshinda mbio na machaguo mengine yenye odds tamu.


Issa
Huku havertz kule werner chelsea kweli wanatak ubingwa msimu ujao
Hope mwaikuka
Kijana yuko poa anafaa kwa matumiz
Shafii
Msimu ujao kweli Chelsea wana kitu cha kufanya EPL na ligi ya mabingwa.
Gabriel
Hatimaye Chelsea wamekunjua mkono kumnasa kiungo mahili wa Bayern harvetz imekaa poa sana
Povel
Kama Chelsea deal done msimu ujao Chelsea wanajambo lao 2020/2021
Zeiyana
Kwa usajiri huu wanao ufanya Chelsea inatuonesha zaili mashabiki wake kama wana mpango wa kuirudisha ile Chelsea ya zamani
Amiri Kayera
Kwer Chelsea walikua na nia
marry
yuko vzr
Sabrina
Chelsea hilo jiwe lao wamelenga mahala pake Kai Havertz yuko vizuri
Samira
Chelsea imejipanga msimu ujao itakua vizuri sana
Frank P
Naona chelsea inaenda kuwa na modern kama ya bayern kuanzia kati wazuri ila nyuma uchochoro
Furahav
Kwa chelsea hii mwakani patachimbika.
Latifa juma mohamed
Mchezaji huyo wa Ujerumani atavunja rekodi ya klabu ya Chelsea na kuwa mchezaji ghali zaidi, akivunja rekodi ya kipa Kepa Arrizabalaga aliyenunuliwa kwa dau la £72m kutoka Athletic Club mwaka 2018, nice one havert natumai Chelsea wanaendelea kukiimarisha kikosi mwakani hapatoshi .
Ester mmakasa
Wako vizuri na hongera kwa hilo.
farida ahmadi
Pongezi Sana kwa Chelsea kwa kuongeza nguvu katika kikosi
David Pere
Naona chelsea inaenda kuwa na modern kama ya bayern kuanzia kati wazuri ila nyuma uchochoro
Rehema
Yuko vizuri
rama
Maoni:itakuwa vizuri akija kutua Chelsea
Genia Sikaluzwe
Chelsea wamepata mchezaji mzr
Sauda
Chelsea watakuwa wamenunua jembe
aisha
Chelsea wamepata jembe imekaa powa sana
Tatu
Chelsea kwa msimu huu wamejitahidi sana kwenye usajili
Adelta
Chelsea Yuko vizuri wanaendea kuimarisha vikosi vyao @meridianbettz
Caroline
Safi Sana nimefurahi ww kwenda Chelsea
magdalena
chelsea wajitose wamchukue havertz yupo vizuri sana na ataisaidia sna timu
Nasra
Safii sana
Ester jackson
Big up Chelsea mambo ndio haya tunayo yahitaji mashabiki wenu
felister
Chelsea msimu ujao itakua mbali sana
Saupha mohamed
Safi sana
Ernest
Mambo ni moto Darajani
Lydia Emmanuel Magoti
Pongez kwao Chelsea Mambo mazuri hayo
Theckla
Habari njema
Rose kapinga
Usajili umepamba motooo!!!
jullie
iko poa sana
Fatuma kasomo
Wamejipanga msimu ujao itakua nzuri
Dorophina
Chelsea hawataki masihara msimu ujao ndani havert akiharibiki kitu hapo
Samiah
Iko poa
Genia Sikaluzwe
Chelsea wanepata mchezaji mzr
Khadija
chelsea wamepata mchezaji mzuri#meridianbettz
Fatina mfingi
Chelsea Mambo Ni moto
Neema
Safiii sanaa
Sadick
Karibu darajani. Chelsea ina tatizo la beki na golikipa nadhangaa imekuwa ikisajiri washambuliaji#meridianbettz
warda
Chelsea hawataki mchezo safari hii