Leicester City wametangaza Nampalys Mendy amesaini mkataba mpya utakaombakiza katika timu hiyo kwa miaka miwili ijayo.
Nampalys alisajiliwa kwa mkataba wa muda mfupi lakini kufuatia tetesi za Ben Chillwell kutimkia Chelsea, Leicester City wamemuongezea mkataba ili aendelee kusalia kwenye timu hiyo.
Mendy kusalia Leicester City.
” Nimefurahia kufanya kazi na Mendy tangu nimeingia Leicester City. Ninavutiwa nae kila ninapomuona, kwahiyo nimefurahi kuongeza kwake mkataba wa kuendelea kuweko hapa kwasababu anakazi kubwa ya kutekeleza.” amesema Kocha wa Leicester City – Brendan Rodgers.
“Kuwa na mtu mwenye uzoefu wake, uwezo na akili ni jambo kubwa kwetu ukizingatia tunamichuano ya Ulaya msimu ujao.
“Kwangu ni mtu wa daraja la kwanza na amefanya vizuri kila anapopata nafasi hivyo nimefurahi kwa yeye kuendelea kuwa sehemu wa hiki tunachokitengeneza Leicester City.”
Taarifa mbalimbali zinaripoti uwezekano wa James Maddison kufuata nyayo za Mendy kwa kusaini mkataba mpya wa kuendelea kubaki Leicester City. Wakati huohuo, inasemekana Ben Chillwell yupo mbioni kujiunga na Chelsea.
Beti Mbio za Mbwa Mubashara
Hii ni rahisi zaidi! Hapa USHINDI unaupata kwa kuchagua mbwa anayeshinda mbio na machaguo mengine yenye odds tamu.


Povel
Habar njema kwa mashabik wa lecestery city vle vle gud update kwake kwa kuendeleah kusalia kwny kikos hcho
Theonestina
Hongera yake
Issa
Safi sana mendy kwa kuitumikia klabu yake tena
Hope mwaikuka
Kwa raha zake
Shafii
Ni jambo zuri Sana kwa kusalia hapo.
Gabriel
Nampalys Mendy bado ananafasi nzur sana ya kuendelea kuchezea club ya Leicester City.
Amiri Kayera
Jamb amekua msaada msim uliopt
marry
nice
Sabrina
Hongera sana Nampalys Mendy kwa kuendelea kusalia Leicester city
Frank P
Team hii msimu ujuo watakuwa wamoto sana
Samira
Mendy alistahili hili kutoka katika club big up
Ester mmakasa
Hii ni habari njema kwa mashabiki wake.
Furahav
Hingera sana.
Latifa juma mohamed
Gud news kwa mashabiki hongera Sana kwa kuendelea kusalia hapo mendly.
farida ahmadi
Habari njema Sana
Genia Sikaluzwe
Amefanya Jambo jema
David Pere
Nampalys Mendy bado ananafasi nzur sana ya kuendelea kuchezea club ya Leicester City.
Rehema
Nice
rama
Maoni:vizuri bado kiwango chake kipo vizuri
Sauda
Hongera sana
Zeiyana
Ni vizuri kocha kama kocha kugambua humuhimu wa mchezaji wake..!kwa kuangalia ni kweli Mendy amefanya kazi kubwa sana pale Leicester city
aisha
Hongera sana meddy kwa kusaini mkataba mpya
Adelta
Good @meridianbettz
Tatu
Leicester city wameamua kusajili Mendy beki mwenye kujituma
Magdalena
Leicester wamefanya jambo LA maana sana kumsajili Uyu mwamba yupo vizuri sana
magdalena
leicester wamefanya jambo jema sana kumbakisha uyo mwamba maana bado anamchango mkubwa sana katika timu
Caroline
Congrats Mendy
Nasra
Hongera sana
Ester jackson
Good
felister
Mendy ni mtu mwenye akili mzoefu na uwezo hongera kwa kuongeza mkataba
Saupha mohamed
Good
Lydia Emmanuel Magoti
Hongera yake Mendy mpambanaji anajua pongez kwake kwakuongeza mkataba
Ernest
Wakati wake sasa Mendy kupambana na kuhakikisha anapata deal kubwa zaidi huko mbeleni
Theckla
Safii
Rose kapinga
Pongezi kwako!!!
jullie
ni mwendo wa kupiga mtonyo tu
Dorophina
Kila lakheri kwake kwa kubakia kwenye kikosi chake haendelee kutoa suport kwenye kikosi
Samiah
Nice
Khadija
safi sana medy#meridianbettz
Fatina mfingi
Nice
Salma ngende
Vizuri
Neema
Vizuriii
Sadick
Miaka ya karibuni Leicester imefanikiwa kuunda kikosi imara ambacho kimekuwa chachu katika Ligi ya EPL na sina itaendelea kutoa ushindaji mkubwa hata baadhi ya wachezaji muhimu kuondoka#meridianbettz
warda
Leicester City wamepata kifaa sana