Mashindano ya UEFA ya Ligi ya Mataifa hayaonekani kuwaendea vyema Ujerumani. Hawajashinda mechi hata moja katika michezo sita lakini Kocha Joachim Loew ana matumaini kuwa hilo litabadilika hivi karibuni.
Loew ameahidi kuleta kandanda la kushambulia zaidi ambalo litawapa ushindi wao wa kwanza kabisa wa Ligi ya Mataifa, baada ya kutoka sare ya 1 – 1 na Uswisi jana usiku.
Ujerumani ilitoka sare mbili na kupoteza mbili kati ya mechi zao za ufunguzi wa Ligi ya Mataifa miaka miwili iliyopita na wametoka sare mechi mbili za 1 – 1 msimu huu, dhidi ya Uhispania na kisha Uswisi.

Matokeo hayo yanazusha manung’uniko ya kushuka kwa kiwango cha timu ya taifa ya Ujerumani lakini Loew na mkurugenzi wa timu Oliver Bierhoff anasema hakuna haja ya kuwa na wasiwasi
Kwanza kabisa, tuna furaha sana kuwa sasa, baada ya muda huu mrefu Zaidi bila kuwa na timu ya taifa, tumejumuika pamoja tena. Na bila shaka tunataka kuleta tena furaha ya timu ya taifa.
Ingawa tunafahamu watu wana mawazo tofauti na wasiwasi. Lakini tunatumai kuwa wanasubiri kuiona timu yetu ya taifa. Bila shaka tunataka pia kucheza kandanda la kuvutia, la kujituma na lenye mafanikio.
Lakini pia kikosi cha Ujerumani kina wachezaji chipukizi ambao ndio sasa wanapata uzoefu wa kushiriki katika mashindano ya kimataifa kitu ambacho Bierhof anasema matunda yake yataonekana katika siku za usoni.

Kwetu ni muhimu kutengeza timu mpya ya chipukizi, kuipa nafasi ikue, kumpa mchezaji mmoja au mwingine fursa ya kupata uzoefu zaidi wa mechi za kimataifa. Changamoto ni kuwa makocha hawawezi kuwa na muda wa kufanya kazi na timu.
Oktoba na Novemba tuna mechi tatu katika siku nane hadi kumi. Hiyo ni changamoto kubwa. Unaweza tu kufanya mazoezi mara tatu au nne pekee, kama ilivyo sasa tu.
Najaribu kuwasilisha mawazo na filosofia kwa wachezaji katika kipindi kifupi. Lakini tuna furaha sana.
Mechi za Kundi A4 zitaendelea Oktoba 10 wakati Ujerumani itacheza ugenini dhidi ya Ukraine, ambao wako katika nafasi ya pili na pointi tatu baada ya kuwalaza Uswisi nyumbani.

Ujerumani wataialika Uswisi mjini Cologne siku tatu baadaye. Kisha Novemba 14 Ujeurumani itacheza na Ukraine mjini Leipzig na kukamilisha mechi za makundi kwa kupambana na vinara wa sasa Uhispania Novemba 17.
Katika mechi hizo, kocha Loew anaweza kuwaweka kikosini nahodha Manuel Neuer, aliyepumzishwa pamoja na wenzake wa Bayern Munich Joshua Kimmich, Leon Goretzka na Serge Gnabry baada ya kushinda Ligi ya Mabingwa Agosti 23.
SHINDA NA HI LO
Sasa hii ni rahisi zaidi kupata USHINDI! Unatabiri karata ipi ipo chini au juu, kisha unakusanya mkwanja wako.


magdalena
ukiona mpka kusema ivyo wamejipanga vyema sana
Rose kapinga
Ujerumani inabidi wafanye jitihada za ziada ili kuweka mambo sawa vinginevyo watakua na rekodi mbaya!!!
rama
mhh achatuone mwenendo wa timu utakuwaje
Mwanahamisi
Gud news
Zeiyana
Sasa huu muda muafaka wakutuonesha mabadiliko yao ujerumani
Samiah
Gud news
Caroline
Timu ipo vizuri
Sadick
Kocha Joachim Loew aling’ang’ania wazee tangu mwaka 2014 sasa amebadilika na kuwaweka vijana, wanahitaji muda zaidi kuwa pamoja kupata uzoefu#meridianbettz
Nasra
Tunasubir mabadiliko
Adelta
Kocha Yuko vizuri#meridianbettz
Rehema
Asante kwa makala
Hidaya
Acha tuone itakavyokuwa
Theckla
Naona wamejipanga
Janeflora malisa
Ukiona hvy mambo mazur
Amiri Kayera
Ni kocha mzur na anajiamin anachokifanya
Mwajumah
Acha tuone itavyokua#Meridianbettz
Sauda
Kwakweli wamejipanga
Saupha mohamed
Kocha yupo vizuri anachokifanya kipo sahihi
Dorophina
Tunasubilia mabadiliko mashabiki
Issa
Germany ni timu safi
Gabriel
Upande wa timu ya taifa ya German haiko vzur labda upande wa ligi tunaona kuwa inafanya vzur sana kwa mujibu wa Kocha Joachim Loew ana matumaini kuwa hilo litabadilika hivi karibuni inabid apate muda wa kupanga kikosi vzur
Leonard
Vizuri kuwapata chipukizi nafasi
aisha
Tunataka kuona mabadiliko ya tim msitufokee
Hope mwaikuka
Mpenz mtazamaj nipo
kabogoro
ujermani mpya inatengenezwa na kizaz kipya
maneno ya kocha wa ujermany akizungumzia hali ya sasa ya ujermany
Theonestina
Wako vizur Sana
Ester jackson
Tunahitaji mabadiliko sasa kwenye timu
Flomena
Asante kwa makala nzuri
Sabrina
Yangu machoo
Emmy
Timu iko vizuri sana
Elika
WamejipNga hao
Povel
Hapo sual la muda ujerumani mashine timu mpya ile
Isaya massawe
Wamejipanga vizuri
Amani
wanahitaji muda zaidi kuwa pamoja kupata uzoefu
Latifa juma mohamed
Natumai wamejipnga Zaid.
felister
ujerumani inabidi wafanye jitihada za ziada ili kuweka mambo sawa
Lydia Emmanuel Magoti
Wamejipanga kiukamilifu
Ernest
Germany imepoteza sana Radha sio ile Germany tulioizoea, Bado wanakazi kubwa sana kwenye kusuka kikosi
Tatu
Kocha wa Germany anawapa moyo wachezaji wake ili wasifanye vibaya mbeleni
Salma ngende
Wamejipanga vizuri
Neema
Mambo hayo ndio tunayoyapenda kuyasikia. Wako vzr
Shafii
Imekaa poa hii.
David Pere
Upande wa timu ya taifa ya German haiko vzur labda upande wa ligi tunaona kuwa inafanya vzur sana kwa mujibu wa Kocha Joachim Loew ana matumaini kuwa hilo litabadilika hivi karibuni inabid apate muda wa kupanga kikosi vzur
warda
Usipo jiamini utapotea bola Kocha huyu anajiamini