Nahodha wa timu ya Taifa ya Nigeria Ahmed Musa na kikosi kizima cha timu ya Taifa ya kimewaomba msamaha mashabiki wao baada ya kutoka sare dhidi ya Sierra Leone.
“Tulifanya makosa ya gharama kubwa, tunaomba msamaha kwa dhati na tunaahidi tutarekebisha makosa yetu na kupata ushindi nchini Sierra Leone” alisema Musa

Nigeria ilitoka sare ya Goli 4-4 na sierra Leone katika harakati za kuwania kukata tiketi ya kucheza Afcon Mwakani.
Nigeria wanaongoza Group L katika michezo 3 wakiwa na alama 7, Benin nafasi ya pili alama 6, Sierra Leone nafasi ya tatu alama 2 na Lesotho akiburuza mkia kwa alama 1 baada ya michezo 3.
Ushindi wa Nigeria katika mchezo huo ungewafanya wajihakikishie nafasi ya kufuzu katika kundi hilo.
Hauhitaji kuwaza linapokuja suala la ubashiri na odds kubwa. Bashiri na Meridianbet ukiwa popote ufurahie ushindi mkubwa katika michezo mbalimbali na hadi milioni 16 kwenye michezo ya kasino.



magdalena
kukosa kushinda ni chahcu moja wapo katika soka
Lydia Emmanuel Magoti
Vizuri musa kwalicho kiombalazi kwamashabiki kutofanya vizuri lakini nimatokeo lazima ukubaliane nakila kitu akuna jinsi kaidi watafanya vizuri
Ester jackson
Inapendeza kuona mchezaji pale alipokosea anajutia kupoteza hivyo inapaswa atimize ahadi aliyoiweka ili kuweza kuwafurahisha taifa lake
Elika
Kuomba msamaha ni jambo jema
Carolyn
Next time.muwe makini.mnawaumiza mashabiki zenu
Fatina mfingi
Umefanya kitu kizur sanaaaa!!
Adelta
Yuko sahihi
Rahma
Kuomba msamaha sio kosa
Hopemwaikuka
Msamaha ni ktu kizur kwa waelewa tu
Angelina
Safi
Mwajumah
Nice
zeiyana
Nigeria waliuzarau sana ule mchezo mashabiki hawakutegemwa maetokea hayo kabisa
Povel
Next game wanawez kufany vzr kikubwa kujipanga kwa kila mchezo
Sadick
Nigeria inapotea kwenye anga la soka kama nchi kwa sababu wachezaji wake kujali maslahi binafsi kuliko Taifa lao. Cameroon imekuwa ikipata mafanikio kutokana na uzalendo wa wachezaji wake kwa Taifa lao
Issa
Ni sahih kuwaomba radhi na kwa timu kama sieralione na nigeria ni aibu kwa nigeria kutoka suluhu
aisha
Amefanya jambo la maana sana
Sabrina
Kusuruhu ni moja ya mchezo ila inabidi wakaze isijirudie
Sauda
Ametumia uungwana sana
Saupha mohamed
Jambo la kheri
Tatu
Nigeria wanajitambua sana wangekuwa timu nyingine wasingeomba msamaha