Aliyekuwa Kocha wa Simba SC Sven Vanderbroeck (41) rai wa Ubelgiji amesaini mkataba wa miaka miwili kuitumikia club ya FAR Rabat ya Morocco.
Sven amesaini mkataba huo kurithi nafasi ya kocha Abderrahim Talib aliyefukuzwa kazi na klabu hiyo.

Taarifa hizo zinakuja ikiwa ni siku mbili zimepita toka Sven atangaze kuondoka Simba SC kwa madai ya kuwa anaenda kuwa karibu na familia yake.
Kocha huyo aliiongoza Simba SC katika mechi 55 akipata ushindi mara 39, sare 10 na kupoteza 6. Simba kwa sasa ipo katika nafasi ya pili katika msimamo ikiwa na alama 35 na michezo 3 ambayo haijacheza.
Tetesi za chini chini zinasema Klabu hiyo inamtaka aliyekuwa kocha wa Al Ahly aliyetimuliwa mwaka huu, Rene Weiler, 47.
Ndio, kwetu Mteja ni mfalme. Jiunge sasa na familia ya Meridianbet bila malipo yeyote na sisi tutakuzawadia bonasi ya shilingi 3,500 kama sehemu ya kukukaribisha kwenye familia hii BURE!!!. Unasubiri nini??



Lydia Emmanuel Magoti
Vizuri kila La kheri kwake
Dorophina
Kila lakheri ila simba wamepoteza kocha mzuri
Latifa juma mohamed
Daaah Simba watammic Sana kocha mzuri Sana.
Issa
Simba imepoteza mtu
Sania
Simba watajutia maamuzi yao
Hopemwaikuka
Aisee aina jins
Shakila mrope
Wanasimba hawatajuta kwani wameanza na yeye atakuja bora kuliko
Adelta
Simba wamepoteza kocha mzuri
Ester mmakasa
Jamani tulishamzoea wakati akiwa Simba kila lakheri huko aendako.
Angelina
Kila kheri
Sarah
Kila la kheri kwake
Lydia Emmanuel Magoti
Kila la kheri sven
Caroline
Kazi kazii
Fatuma kasomo
Kila la heri
Ernest Kimeru
Kila la kheri, Anachangamkia kupiga mkwanja
lombo
duuh
Neema juma
Maisha popote lakiniiii!!!.
aisha
Simba wameshafeli watafungwa kama nini
Saupha mohamed
Kila la kheri
Magdalena
Hongera kwake
warda
Ndo kilichomkimbiza kwenda huko rabit
Gabriel
Habar njema
Sabrina
Hongera Sana