Kocha wa Arsenal, Mikel Arteta amefichua mpango wa kumchezesha kiungo Thomas Partey katika kikosi cha kwanza atakachokitegemea kwenye mchezo wa kombe la FA.
Arsenal wataanza kutetea ufalme wa Kombe la FA kwa kualika Newcastle United uwanjani Emirates leo usiku wakiwa na Partey.

Arsenal wana rekodi nzuri dhidi ya Newcastle wakiwa wameshinda kwa 3-0 katika mechi zote tatu zilizopita za Kombe la FA. Mechi hizo ni za raundi ya tano mnamo 1936, robo-fainali mnamo 2002 na raundi ya nne mnamo 2008.
Arsenal waliondolewa katika raundi ya tatu ya Kombe la FA mara moja pekee katika kipindi cha misimu 24 iliyopita, na hiyo ilikuwa dhidi ya Nottingham Forest mnamo 2017-18.
Ndio, kwetu Mteja ni mfalme. Jiunge sasa na familia ya Meridianbet bila malipo yeyote na sisi tutakuzawadia bonasi ya shilingi 3,500 kama sehemu ya kukukaribisha kwenye familia hii BURE!!!. Unasubiri nini??



Dorophina
Habari njema kwa mashabiki wa arsenal
Latifa juma mohamed
Gud news.
Issa
Partey moto
Hopemwaikuka
Fresh
Shakila mrope
Ni 🔥🔥🔥
Adelta
Inapendeza Sana
Ester mmakasa
Ni maamuzi mazuri kwake na mashabiki wake.
Angelina
Arsenal wako vizuri sana
Sarah
Habari nzuri kwa mashabiki wa Arsenal
Lydia Emmanuel Magoti
Inapendeza sana
Caroline
All the best..
Fatuma kasomo
Gud news
Ernest Kimeru
Itakuwa vizuri sana
lombo
ok
Neema juma
Nimeipenda hiyo
aisha
Imekaa powa sana
Saupha mohamed
Nice
Latifa juma mohamed
Safii
Magdalena
Good
warda
Itakuwa poa sana
Gabriel
Habar njema;
Sabrina
Safi