Ronaldo Atupia Wavuni 20 Serie A.


 

Mshambuliaji wa Juventus, Cristiano Ronaldo aliandikisha historia katika mchezo wake wa 600 wa ligi kwa kufunga bao la 20 katika Serie A msimu huu walipoishinda Spezia 3-0 uwanjani Allianz.

Mabao yote matatu yalifungwa katika kipindi cha pili huku Ronaldo akilifunga goli la tatu alipotumia vyema fursa ya kupewa pasi katika dakika ya mwisho.

 

Alvaro Morata alikuwa amefunga bao la kwanza kutumia krosi ya mwenzake Federico Bernardeschi kabla ya Federico Chiesa kufunga goli la pili.

Ushindi huo sasa umeisongesha Juventus hadi alama tatu chini ya nambari mbili AC Milan katika Jedwali la Serie A .

Bao la Ronaldo sasa linamaanisha anakuwa mchezaji wa kwanza kufunga takriban mabao 20 katika kila vipindi 12 vya ligi tano kubwa za bara ulaya.


Ni Muda wa Kuvuna Mkwanja na Jungle Jim and the Lost Sphinx

Hauihitaji kufikira mara mbili ni mchezo gani utakupatia mkwanja ndani ya kasino za Meridianbet. Jiunge sasa ufurahie Jungle Jim and the Lost Sphinx.

  CHEZA HAPA

12 Komentara

    Ronaldo yupo vinzur sana

    Jibu

    Namkubali sana CR7

    Jibu

    Namkubali Ronaldo

    Jibu

    Great

    Jibu

    Nice

    Jibu

    Yuko vizuri sana Ronaldo

    Jibu

    Ronald yuko vizuri na anakubalika sana na mashabiki

    Jibu

    Ronaldo mtu mbaya sana

    Jibu

    Ronaldo mtu mahili

    Jibu

    Guud

    Jibu

    Vizuri

    Jibu

    CR7 hata baada ya kufikisha miaka 36 bado anaonyesha uwezo wa kuendelea kufunga

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.